Majuto Lyrics by GEGE


Mwanzo hanipiti salamu
Stori kimtindo
Masiku yamekatika maumivu yameongezeka
Ma umeshindwa kuhimiri
Hisia zimemwagika mrembo kavimba bichwa
Hata nikimuita "Hey" anasita sasa
Usione mjinga mi nimetumwa na moyo
Na mapenzi ya dhati japo kibogoyo
Nipe nafasi nikupe love ya ukweli
Pia ni zawadi kwako Mungu si tapeli

Bwembwe zako zanitisha, zanipa ujasiri
Sikati tamaa binadamu ana pande mbili
Kukubali kukataa nina imani na jibu nzuri
Masiku hayalingani labda kesho nitapata nafasi
Au basi!

Maombi ya ngoswe namwachia ngoswe
Ju huku ni majuto dada usinichukie
Ndoto za alinacha
Kupenda penda nimeshasahau
Mwandani nimeadhirika
Mambo ya mademu siku hizi dharau

We ulitaka penzi na pesa ulipata
Ulitaka twende viwanjani ukale bata
Yeah sadakta ulikula bata
Pembeni wapambe mtoto umenikamata

Unawaka na mi nilishalowa na mapenzi nyaka nyaka
Ukaniacha nikaachika 
Una bwana na watoto pembeni mapacha
Sometimes naona kama ndoto za Alinacha
Nipo kwenye speed la gari napata puncture
Bora niwe bachelor sitaki tena dem
Niko busy na game, busy kwenye game
Mapenzi yote ahera RIP marehemu
Sitaki demu, sitaki mademu

Ulichotenda kinaweza kusaka mapene
Kupiga dili nini, madili na wanene
Sio kuuza mwili kwa jisebene
Mapenzi ni wawili mama niteme

Na hii sio siri ngoja niseme
Ah usichanganye akili bora nikuteme
Go Go go!

Maombi ya ngoswe namwachia ngoswe
Ju huku ni majuto dada usinichukie
Ndoto za alinacha
Kupenda penda nimeshasahau
Mwandani nimeadhirika
Mambo ya mademu siku hizi dharau

Wanahesabu kama mapito
Mapenzi bila mood mambo mazito
Kale kamoyo ka kulia hakipo mmmh

Ah sifagilii siwazimii
Waligonga chance side na my G
Dada nanii acha kusweep
Hapa kwangu is not easy
Is not easy, Is not easy
Is not easy!

Maombi ya ngoswe namwachia ngoswe
Ju huku ni majuto dada usinichukie
Ndoto za alinacha
Kupenda penda nimeshasahau
Mwandani nimeadhirika
Mambo ya mademu siku hizi dharau

Watch Video

About Majuto

Album : Majuto (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 24 , 2020

More GEGE Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl