Itajulikana Lyrics by GACHI B


Baddy!
Champion boy
Eyoo gach b
Yezza Man yezza yezza
Whozuuu!!
Yezza man yezza yezza
Omma fufumwe
Weeedeee

Itajulikana (itafahamika)
Itafahamika ( itatajulikana )
Itajulikana (Itafahamika )
Itafahamika (itajulikana)
Itajulikana ( itafahamika)
Itafahamika ( itajulikana)
Itajulikana (itafahamika)
Itafahamika (itajulikana)

Simba na yanga nani bingwa (itajulikana)
Itafahamika
MO na mondy nani simba  (itajulikana)
Itafahamika
Anakuchuna? Anakupenda? (Itajulikana)
Itafahamika
Choma kitu mbele ya defender (itajulikana)
Weeh! Itafahamika

We mwajuma doa changu
Kula sana bia zangu (itajulikana)
Ila tukifika kwangu
Iyo kitu apo kati mali yangu
Itafahamika
Wenye pese awanaga kelele, kama kweli unakipande
Itajulikana
Kama umezoea misele, na ushafika kwa mpalan
Itafahamika, Itafahamika
Itafahamika (itajulikana)
Itajulikana ( itafahamika)
Itafahamika (itajulikana)
Itajulikana ( itafahamika)
Itafahamika (itajulikana)
Itajulikana ( itafahamika)

Ivi umenunua ama umeongwa
Itafahamika, tutajua tu
Kukuacha adomana una mponda
Itafahamika, tutajua tu
Asa mbona we kaku save zima moto
Itafahamika, tutajua tu
Au kimoja chali upeleki moto
Itafahamika, tutajua tu
Itajulikana ( itafahamika)
Itafahamika (itajulikana)
Itajulikana ( itafahamika)
Itafahamika (itajulikana)
Itajulikana ( itafahamika)
Itafahamika (itajulikana)
Itajulikana ( itafahamika)
Itafahamika (itajulikana)

Leo ndo utajua kwamba mi kichaa
Itafahamika, tutajua tu
Umekula vyangu alafu unanikataa
Itafahamika, tutajua tu
Uyo mpenzi wako atakuchangia figo
Itafahamika una kichaa
Kanyimwa akili amepewa zigo
Itafahamika asalalee
Itajulikana ( itafahamika)
Itafahamika (itajulikana)
Itajulikana ( itafahamika)
Itafahamika (itajulikana)
Itajulikana ( itafahamika)
Itafahamika (itajulikana)
Itajulikana ( itafahamika)
Itafahamika (itajulikana)
Itajulikana ( itafahamika)
Itafahamika (itajulikana)
Itajulikana ( itafahamika)
Itafahamika (itajulikana)

Watch Video

About Itajulikana

Album : Itajulikana (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Aug 05 , 2021

More GACHI B Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl