Paroles de Pombe
Paroles de Pombe Par IBRAAH
Mmmh yeah yeah yeah
Mmmh yeah yeah yeah
Mmmh yeah yeah yeah
(Mocco)
Poombe poombe, yao yao
Poombe poombe, poombe poombe
Jeshi, poombe poombe
Eeh vanemba newala
Kwanza pombe ni dawa
Ukiwa na msongo wa mawazo inakuweka sawa (Aah wewe)
Pombe sio kahawa
Kama hauziwezi usizidishe utapagawa (Aah wewe)
Eeh mwezenu nikinywa pombe
Zinashuka kwa chini
Na kichwa kinakuwaga cha moto
Na sio za kupimaa pombe iwe dompo
Iwe barimi zinanishikaga ndo changamoto
Na enjoy japo nikinywa nakunja sura
Ni moja ya utamu wa pombe (Utamu huooo)
Eeh sitoboi sasa usiombe niikamate chura
Nazima taa hiki si nikikombe (Utamu huooo)
(Mmmh Mmmh)
Yaw Yaw! Eeh nikizinywa nashushia na ndumu (Poombe)
Basi iyo glass naiona kama dumu (Poombe)
Nikizima niacheni humu humu (Poombe)
Na usishangae nikila muhudumu (Poombe)
Sipendagi kuwa sober mixture za madeni ya vikoba
Bora ninywe hata viroba uzeeni nitatubu tobaa
Kulewa ni kule kule
Japo chupa na ladha za pombe tofauti (Tofaaaa)
Na mnaokunywa Hennesy
Sisi wa savanna msitupandishie sauti, za woofer
Yeboo mimi napendaga kulewa lewa
Pembeni kuwe mtoto totoo
Maana nikishalewa lewa
Kinachofata nikupeleka motoo
Pombe pombe
Pombe pombe
Pombe pombe
Pombe pombe
Yaw Yaw! Jeshi
Eeh vanemba newala
(Mocco Genius)
Ecouter
A Propos de "Pombe "
Plus de Lyrics de IBRAAH
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl