Paroles de Tano
...
Paroles de Tano Par IBRAAH
Gang gang gang gang gang
Wee wanangu wa gang
Oyaa kondegang gang gang gang
Wee oya tuko gang gang
Oya
Kama una amini kweli mungu yupo
Na unajua kuwa tama ni mbaya mwanangu nipeee
Tumia unatumia za kwako
Umetafuta kwa jasho
Mwanangu nipeeee
Oya kukosa sio fungu lako
Ipo siku ya kwako
Mwanangu nipee (tanoo)
Oya nipeni wanaguu, nipee nipee
Kama woo, kama wote
Hili goma la ukoo limepigwa tunaluka wotee
Yeeh kama wo
Goma la ukoo limepigwa tunaluka wote
Kama wo, kama wote
Goma la ukoo likipigwa tunaluka wote
Eh kama wote
Goma la ukoo limepigwa tunaluka wote
Oya gang gang gang gang
Wee wanangu wa gang gang
Oyaa konde gang gang gang
Wee oya tuko gang gang
Oya kondegang gang gang gang gang
Wee wanangu wa gang gang
Oyaa konde gang gang gang
Wee oya tuko gang gang
Oya oya wee
Oya wee piano, wee piano, piano
Wahuni nipe tano, piano, wee piano, piano
Wahuni nipe tano, nipe tano, wee tano
Nipe tano, eh tano
Nipe tano, eh tano
Nipe tano, eh tano
Oyaa
Oya wee oya
Oya gang gang
Oya oya
Ni kama nimetoroka milembe chizi
Chizi nimeteka bendera
Jiji linataka mwendo mpela mpela
Usione nakesha nasaka hela
Oya mwana nipe tano kama msela
Piano limetoka kwa mandela
Bongo tunakula bata hadi sekela
Alonambia kaza mpelela
Oya mwana nipe tano kama msela eh
Kama woo, kama wote
Hili goma la ukoo limepigwa tunaluka wotee
Yeeh kama wo
Goma la ukoo limepigwa tunaluka wote
Kama wo, kama wote
Goma la ukoo likipigwa tunaluka wote
Eh kama wote
Goma la ukoo limepigwa tunaluka wote
Oya gang gang gang gang
Wee wanangu wa gang gang
Oyaa konde gang gang gang
Wee oya tuko gang gang
Oya kondegang gang gang gang gang
Wee wanangu wa gang gang
Oyaa konde gang gang gang
Wee oya tuko gang gang
Oya oya wee
Oya wee piano, wee piano, piano
Wahuni nipe tano, piano, wee piano, piano
Wahuni nipe tano
Nipe tano, wee tano
Nipe tano, eh tano
Nipe tano, eh tano
Nipe tano, eh tano
Oyaa
Oya wee oya
Oya gang gang
Oya oya
Ecouter
A Propos de "Tano"
Plus de Lyrics de IBRAAH
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl