Jiongeleshe Lyrics
Jiongeleshe Lyrics by FEMI ONE
Femi I saw you pale IG si unakaa fiti
Shiko ki mimi nani bila we hali ya Mwiki
Kasarani nae kidogo si ndo twawaburn
Si tafadhali toka East ndo nilirise ka sun
(Ricco Beats Mr 808)
Sa hii ni we matunda ya kazi una enjoy
Cheza ki cupid nishikanishe na Arrowbwoy
Shiko mi si date celebs ngumu nijipate
Hapa natafuta pesa na sitafuti hearbreak
Femi mafan maboy watapenda hio ripoti
Lazima watakuchapa na ma meme naughty naughty
Shiko nitareply na emoji si you know me
Nikicheka jokes zao wanahisi wana njoti
Femi ulicause beef na kina Njeri na Noti
Shiko swali muhimu ni ka nimebuy ploti
Na gari mauwano kama sir name ya Flossy
Hivyo Femi hakuna time ya makiki na mikosi
Jiongeleshe, jiongeleshe
Jiongeleshe, jiongeleshe
Jiite kamkutano, jiongeleshe
Jiongeleshe, jibongeshe
Jiongeleshe, jibongeshe
Jiite kamkutano, jiongeleshe
Jibongeshe, jibongeshe
Jibongeshe, jibongeshe
Jiite kamkutano, jibongeshe
Jibongeshe, jibongeshe
Jibongeshe, jibongeshe
Jiite kamkutano, jibongeshe
Femi 255 wanakupenda ni ka wewe wao
Shiko hujui kwani nabii hakubaliki kwao
Hata akibadili maji ju Henny ama Kibao
Hukuskia alivyosema ule Masauti kwa hao
Femi collabo Kenya ziko Bongo vipi?
Huku we queen tumeconfess ka rosary
Shiko rozari ya nini na mi si mkatoliki
Ngoma yangu na Roma ndo itashow Stamina fiti
Mi ndio na mwahia zaidi ya vichwa za wazazi
Na sijaamua sparetime nitaspend na nani?
Mimi mama yao kabla sijakuwa mzazi
Tuva akisema najituma haimaanishi dukani
Kuna swali moja imebaki
Roumour ni utakuwa rapper wa kwanza Wasafi
Femi hivi vipindi lakini mnatoa wapi?
Kaka Empire lifestyle msikize kwa Remy Martin
Jiongeleshe, jiongeleshe
Jiongeleshe, jiongeleshe
Jiite kamkutano, jiongeleshe
Jiongeleshe, jibongeshe
Jiongeleshe, jibongeshe
Jiite kamkutano, jiongeleshe
Jibongeshe, jibongeshe
Jibongeshe, jibongeshe
Jiite kamkutano, jibongeshe
Jibongeshe, jibongeshe
Jibongeshe, jibongeshe
Jiite kamkutano, jibongeshe
Jiongeleshe, jiongeleshe
Jiongeleshe, jiongeleshe
Jibongeshe, jibongeshe
Jibongeshe, jibongeshe
Jiite kamkutano, jibongeshe
Watch Video
About Jiongeleshe
More lyrics from Greatness album
More FEMI ONE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl