Upendo Wa Mungu Lyrics
Upendo Wa Mungu Lyrics by EZEKIEL MAKILILO
Mungu Wetu iyeeeee
Jee mama waeza kumsahau mtoto wake anayemnyonyesha
Asiyemuhurumia mwana wa tumbo lake
Swali Mungu anakuuliza
Hawezi kusahau Mana amekuchora wewe
Mungu Wetu Ni Zaidi wa Baba
Upendo Wake Ni Zaidi ya Mama
Mungu Baba alipoona kilio na mateso ya wanadamu
Alimtuma mwana wa Yesu duniani
Kwa Upendo na huruma zake
Aliutoa uhau wake oooooh msalabani
Atukomboe Ni Nani Kati ya wanadamu
Anaweza kuyafanya hayo autoe uhai wake
Kwa ajili yetu
Yee Ni Mchungaji Mwema
Kwa maisha yetu
Mungu Baba Eeeh anatuwazia Mema
Yeye Ni Baba wa yatima wote waliomkubali
Na kumpokea Awe Baba yao
Yeye Ni Baba wa mama wajane wote waliomkubali na kumpokea Awe Baba yao
Baba yako Yuko hai yeye anaishi milele
Mjane usilie Mume wako Yuko hai
Yeye hawezi kufa yeye anaishi milele
Baba yangu Wala hakunijali
Watch Video
About Upendo Wa Mungu
More EZEKIEL MAKILILO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl