CALVIN JOHN Unanipenda cover image

Unanipenda Lyrics

Unanipenda Lyrics by CALVIN JOHN


Ooooh ooh yeiyee ooooh woow ohhhh

Inanitosha kujua kua Unanipenda
Japo ninapitia katika Magumu
Najua hutoniacha wala hutonitupa
Sababu ninajua jambo moja

Yesu unanipendaa aaah
Unanipenda aah
Unanipenda aah
Unanipenda aah

Inanitosha kujua kua Unanipenda
Japo ninapitia katika Magumu
Najua hutoniacha wala hutonitupa
Sababu ninajua jambo moja

Yesu unanipendaa aaah
Unanipenda aah
Unanipenda aah
Unanipenda aah

Wakati Mwingine Upendo wako
Unaniumiza
Sio kwasababu unayo nia mbaya
Ila unanifundisha
Unaempenda unamrudi nakumuelekeza
Sababu unampenda aaaah eeeh

Upendo wako sio wakunipa Magari
Wakunipa fedha na mali
Upendo wako ni zaidi ya hayo
Umenizunguka pande zote
Sometimes haumalizi vita ila hunipa utulivu wa ndani
Upendo wako unanipa Amani
Upendo wako unanitoshelezaaa

Inanitosha kujua kua Unanipenda
Japo ninapitia katika Magumu
Najua hutoniacha wala hutonitupa
Sababu ninajua jambo moja

Yesu unanipendaa aaah
Unanipenda aah
Unanipenda aah
Unanipenda aah

Unanipenda aah
Unanipenda aah
Unanipenda aah

Inanitosha kujua kua Unanipenda
Japo ninapitia katika Magumu
Najua hutoniacha wala hutonitupa
Sababu ninajua jambo moja

Yesu unanipendaa aaah
Unanipenda aah
Unanipenda aah
Unanipenda aah

Unanipenda aah
Unanipenda aah
Unanipenda aah

Watch Video

About Unanipenda

Album : UNANIPENDA (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020, GRIPA MUSIC & DG PRODUCTION
Added By : Afrika Lyrics
Published : Apr 26 , 2020

More CALVIN JOHN Lyrics

CALVIN JOHN
CALVIN JOHN

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl