...

Nichunguze Lyrics by EVE NYASHA NGOLOMA


Nimekuja na moyo uliyopondeka

Ninahisi ni kama umeuficha

Uso wako na uwepo wako

Nanyenyekea nimerudi, naomba tena

Usiufiche uso wako nakuomba eeh bwana nakutegemea

Kila wakati ningependa

Ujue kwamba nakuhitaji sana

Kila wakati ningependa

Ujue kwamba nakuhitaji sana

Nimekubali udhaifu, wangu wa mwili

Ninachotaka kufanya sikifanyi

Nisichotaka kufanya, ndo zaidi nafanya

Nakuhitaji

Ninarudi kwako naomba

Unisamehe tena

Usiniwache pekee yangu

Nitapotea bwana

Kisha ulichopanga kufanya

Kupitia kwangu, hakitaweza kutimilika

Kusudi lako maishani mwangu

Halitaweza kutimia nitahangaika

Usiufiche uso wako

Nakuomba tena

Usiniache pekee yangu

Nitapotea bwana

Kila wakati ningependa

Ujue kwamba nakuhitaji sana

Kila wakati ningependa

Ujue kwamba nakuhitaji sana

Sana sana sana

Ni wapi n’taenda

Mbali na wewe bwana

Ni wapi ntajificha

Usipoweza kuniona

Bwana aaahhh

Kwa kweli hakuna aaaah

Nichunguze unijue bwana


Yajaribu mawazo yangu bwana


Na iwapo kuna kitu ndani yangu kisichokupendeza

Ukitoe kisha uniongoze bwana

Nichunguze unijue bwana


Yajaribu mawazo yangu bwana


Na iwapo kuna kitu ndani yangu kisichokupendeza

Ukitoe kisha uniongoze bwana

Nichunguze unijue bwana


Yajaribu mawazo yangu bwana


Na iwapo kuna kitu ndani yangu kisichokupendeza

Ukitoe kisha uniongoze bwana

Nichunguze unijue bwana


Yajaribu mawazo yangu bwana


Na iwapo kuna kitu ndani yangu kisichokupendeza

Ukitoe kisha uniongoze bwana

Niende wapi mbali

Niende wapi mbali na wewe

Hakuna pahali mbali

Niende wapi mbali na wewe

Kama ni mbinguni, wewe upo

Kama ni kuzimu, wewe upo

Mwisho wa bahari, wewe upo

Nikiwa gizani, wewe upo

Weh bwana uko name, wewe upo

Nikiteleza naamini, wewe upo

Kamwe huniachi, wewe upo

Unatembea na mimi, wewe upo

Niende wapi mbali

Niende wapi mbali na wewe

Hakuna pahali mbali

Niende wapi mbali na wewe

Watch Video

About Nichunguze

Album : (Single)
Release Year : 2025
Copyright :
Added By : Farida
Published : Jul 09 , 2025

More EVE NYASHA NGOLOMA Lyrics

EVE NYASHA NGOLOMA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl