Rada Lyrics
Rada Lyrics by EKO DYDDA
-------
-------
Am gonna sing ka game ya hide and seek
Nasumbua mbaya kama water hyacinth
Nimekuwa brikicho brichichi
Borpti pititi ---
Nina preach King, preach king ...
What I am, what I am, what I am?(What I am)
Sisi wote hapa ndo raia(Ndo raia)
Wakiuliza waambie mi nafollow Musa
Mwenye aliambia Musa niite 'I am that I am'
What I am, what I am, what I am?(What I am)
Sisi wote hapa ndo raia(Ndo raia)
Wakiuliza waambie mi nafollow Musa
Mwenye aliambia Musa niite 'I am that I am'
Rada, Rada, Rada, Rada, Rada, Rada
Kwake niko kamili, Buda nimebadili
Natambuaga Mungu 100%
Mi mwenyewe sijitambui 0%
Akisema ashasema, sasa mimi nitasay?
Yeye ndo naamini mi sijiamini manze
Tunarejesha sifa kama o rejeshi
Nafuata God solo mi singoji jeshi
Kwake ndo naskia niko home nipee seat
Upendo wake tunacopy paste it
Kwetu kwetu Dandora
Ndoto zetu amechora
Musa nipe bakora
Nipasue na hiyo rive
Mi sihitaji marive
Blessings zinafollow me
Yesu ndio ako na mi(Brr Brr)
If you know what I mean
Tackle it, kuwa mpole, get it
What I am, what I am, what I am?(What I am)
Sisi wote hapa ndo raia(Ndo raia)
Wakiuliza waambie mi nafollow Musa
Mwenye aliambia Musa niite 'I am that I am'
What I am, what I am, what I am?(What I am)
Sisi wote hapa ndo raia(Ndo raia)
Wakiuliza waambie mi nafollow Musa
Mwenye aliambia Musa niite 'I am that I am'
Rada, Rada, Rada, Rada, Rada, Rada
Kwake niko kamili, Buda nimebadili
Rada, Rada, Rada, Rada, Rada, Rada
Kwake niko kamili, Buda nimebadili
Kwetu kwetu Dandora
Ndoto zetu amechora
Musa nipe bakora
Nipasue na hiyo rive
Mi sihitaji marive
Watch Video
About Rada
More EKO DYDDA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl