Naogopa Lyrics
Naogopa Lyrics by ECHO
Nilivyojititimua penzi halua eti nimepata uwa
Akili nikaisumbua ninachokipika kumbe ndo kina ungua
Kumbe ananiona mentally, anafanya chochote wala hajali
Cha ndimu akakitia asali, muhogo akaufanya mboga kwa ugali
Mara anatoka ananiaga, mama anaumwa
Kumbe mwenzangu panya anapuliza anauma mmm
Wala hakua na huruma hakuona juhudi jinsi ninavyojituma
Najichomoa kwenye kirefu kina
Nashika shepe nalifunika na shina
Nahisi penzi let undo limesha chine, japo moyoni nililiandika jina
Najichomoa kwenye kirefu kina
Nashika shepe nalifunika na shina
Nahisi penzi let undo limesha chine, japo moyoni nililiandika jina
Ai, nimechoka naogopa aa, penzi la mikwara
Ai naogopa nimeloba, aaa penzi la mikwara
Ai, nimechoka naogopa aa, penzi la mikwara
Ai, nimechoka naogopa, penzi la mikwara
Ivi ni kweli ngombe wa masikini hazai
Nilidata nilikua ready me ku die
Ulizima data ukazima na wifi
Ukaniona zoba zumbukuku mu sifai
Mbele za watu we ukanitoa nishai
Pendo la kero yani kama mi nakudaaai
Asa moyo unatatarika ona eeh
Nakunia ndita ona eeh
Mapenzi yamenishinda ona eeh aaa aaah
Najichomoa kwenye kirefu kina
Nashika shepe nalifunika na shina
Nahisi penzi let undo limesha chine, japo moyoni nililiandika jina
Najichomoa kwenye kirefu kina
Nashika shepe nalifunika na shina
Nahisi penzi let undo limesha chine, japo moyoni nililiandika jina
Ai, nimechoka naogopa aa, penzi la mikwara
Ai naogopa nimeloba, aaa penzi la mikwara
Ai, nimechoka naogopa aa, penzi la mikwara
Ai, nimechoka naogopa, penzi la mikwara
Watch Video
About Naogopa
More ECHO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl