Busu Lyrics
Busu Lyrics by DR MATEKENYA
Shika mabega nikushike hips
Kiss my cheeks, kiss my lips
Nafeel alright kama nipo heaven
Niamini mommy we ndo my girlfriend
Mikono inakutana ndimi zinagusana
Wazushi tusiwape chance
You are my valentine you are my fiancee
Japo wanachonga bado tunasurvive
Kama vipi beiby twende zetu ugriti
Tukale masanga tukale mvinyo
Kabla ya salam nipe busu lako duu
Waone jinsi gani nakusudu
Toka 8town mpaka Rock City Mwanza
We mlimbende ndo mrembo wa kwanza
Listen, last night ulinionyesha chuchu
Zilivyoumbika na zilivyo kiduchu
Nilisisimuka na nikapata uchu
Kabla ya chochote kwanza ukanipa busu
Kisha tukaproceed ukaniuliza
Unafeel baridi na unahisi joto ukiwa na mimi
Ukataka cheat case, nikakupa wet case
Ukataka deep kiss nikakupa hot kiss
Busu, taratibu mama
Busu, linanichanganya
Busu, kile unachofanya mama
Na wanawake ni wale wale
Mapenzi ni yale yale
Kama umeniroga kaongezee chale mama aah
Nilivyokupa pete hukukataa
Nikapropose watu wakashangaa
Leba tupo ndani wanoko wanaduaa
Yes Dr Matekenya acha nikutibu
Vicheche wanahanya wanakosa majibu
Lips zako ni zaidi ya dhahabu
Hips zako zinawatia adabu
Wakikuona wanapata adhabu
Wanaona haya walitaka ubaya
Tusiwasikize beiby we nipe raha
Busu, taratibu mama
Busu, linanichanganya
Busu, kile unachofanya mama
Na wanawake ni wale wale
Mapenzi ni yale yale
Kama umeniroga kaongezee chale mama aah
Usijehangaika na kina nani
Kwenye mapicha picha mitandaoni
Mi nawe zuga kama huwaoni
Utunze penzi langu
Ila ukifuata zile 'nakupenda sana'
Utapenda wangapi?
Mtu wangu hangaika nikutunze mama
Usijekula makapi
Wanawake ni wale wale
Mapenzi ni yale yale
Kama umeniroga kaongezee chale mama aah
Watch Video
About Busu
More DR MATEKENYA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl