DK KWENYE BEAT Bahati Wachana na Sisi (Fikra za Bahati Reply) cover image

Bahati Wachana na Sisi (Fikra za Bahati Reply) Lyrics

Bahati Wachana na Sisi (Fikra za Bahati Reply) Lyrics by DK KWENYE BEAT


Nairobi City King Kong
Uh naskia mtoto wa Diana unaroroa eh
Unahukumu watu umekuwa Mungu eh
Unajichocha unajua buda ya Heaven ni nani eh
Umesema yako niruhusu niseme yangu eh

Naskia Ringtone chairman umemvisha kamisi
Daddy Owen aende Radio Jambo arudiane na bibi
Kabi wa Jesus sijui unamuuliza nini
Ata ka alisosi cuzo wachana na sisi

Unasema Guardian ameoa mtu anafaa kuwa guardian wake
Wako akifika 50 atakaa kama wake
Ati Seed alikataa mimba yake 
Yaani bado unaamini Edgar na wanawake

Niko labour nazalisha wanao uchungu na mimi
After Mungu bahati niogope mimi
Afadhali niskie njaa nisikuskize mimi
Hauna sauti ni soul tu na umesahau dini

Mtoto wa mama sijui umekuwa mtoto wa nani?
Uliacha kuimbia  baba sijui unaimbia akina nani?
Izo vitu unafanya usiweke injili ndani
Unajitafutia laana umekuwa mtu bladifakin

Watch Video

About Bahati Wachana na Sisi (Fikra za Bahati Reply)

Album : Bahati Wachana na Sisi (Fikra za Bahati Reply) (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 09 , 2021

More DK KWENYE BEAT Lyrics

DK KWENYE BEAT

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl