Litakufa Jitu Lyrics
Litakufa Jitu Lyrics by DJ SEVEN
Hello World, Its Dj Seven Worldwide
Countryboy, the father, Bonga!
Eyoo warrup Khaligraph huku ni mazishi
Watoto wanaitaka crown huku ni mtiti
Si unaona wahuni tuko live maisha na mziki
Ukiona tuna -- sio gangwe ni kijiti au vipi
Tulianza kama utani Seven, ngwengwe walikuwa hawataki
Litakufa jitu baba waende wakanishtaki
Sisikii siwaoni sura wameziweka wapi?
We kunja dada zako nawala kama mshikaki
Goma la masela sema yoh yoh
Nina watoto wakali sema yoh yoh
Watoto kama wa masha wako loyal
Ile woiyoo, woiyoo yoyoo
Litakufa jitu! (Sukari kwa presha)
Litakufa jitu! (Sukari kwa presha)
Litakufa jitu! (Sukari kwa presha)
Litakufa jitu! (Sukari kwa presha)
Yoh, likifa tunalizika, hatulazagi damu
Leo patachimbika, mitungo zam zam
Bongo pass weed men I wanna get higher
Walosema kawaida wanaona haya
Pause I got money power, in my bank accounts
Nyingine nazigawa, I don't know amount
Cheza nayo, cheza ni sumu kacheze ukuti
Eeeh eh eh, kacheze ukuti
Ukiona hapa gumu nina chupa la parachuti
Eeeh eh eh, parachuti
Goma la masela sema yoh yoh
Nina watoto wakali sema yoh yoh
Watoto kama wa masha wako loyal
Ile woiyoo, woiyoo yoyoo
Litakufa jitu! (Sukari kwa presha)
Litakufa jitu! (Sukari kwa presha)
Litakufa jitu! (Sukari kwa presha)
Litakufa jitu! (Sukari kwa presha)
We bado uko plan A, mi niko AB mpaka Z
Kubonga bonga sana hizo mambo sifagilii
Kumbe unawaza utoke mgonge nanilii
Mwenzako naewaza MTV na BET
Si unaona siku hizi mchizi navyo waka waka
Nawaleta chini hoi nyaka nyaka
Siwaachii kila track nawabaka baka
You know I be killing them muthafucker
Goma la masela sema yoh yoh
Nina watoto wakali sema yoh yoh
Watoto kama wa masha wako loyal
Ile woiyoo, woiyoo yoyoo
Litakufa jitu! (Sukari kwa presha)
Litakufa jitu! (Sukari kwa presha)
Litakufa jitu! (Sukari kwa presha)
Litakufa jitu! (Sukari kwa presha)
We got money, we got power
We got everything, we got the world
Oh My God its Better Sound
Watch Video
About Litakufa Jitu
More DJ SEVEN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl