
BreakDown Lyrics
...
BreakDown Lyrics by DARASSA
Bang bang bang
Bang bang bang
Hey
Ladies call your friend
Ladies call your friend
Bwana trone ana mapesa leo anataka kuspend weeeh
Umeachwa mataa ya jiji
Kisa umeombwa hela ya wigi
Mi gwiji ng’ombe natoa zizi
Nilisha honga kijiji kinaitwa iyigi
Ttu ttu ttu ttu ttu twe
Mwaga radhi mchana kweupe
Uswahilini code hizo chipupute
Ukishikwa ta, lazima ugeuke
Ttu ttu ttu ttu ttu twe
Mwaga radhi mchana kweupe
Uswahilini code hizo chipupute
Ukishikwa ta, lazima ugeuke
Breakdown breakdown
Una breakdown
Vitu visiwe vingi sana breakdown
Breakdown oya breakdown
Usije ukaingia chaka breakdown
And when you hear that sound
It’s the proof we living life
When you hear that sound
Naitwa majina
Ufalme ni heshima
Wengine wananiita mmasa wa mjini wakiona samba wananipigia mimi
Dada mwajuma
Sister carolina
Ukiitwa kwa jina
Twende bilinge bilinge yani mpaka chini
Jaichie basi
Niinue nikutunze nikupe maxi
Fanya kama hautaki
Mgongo kama vile unakanda chapati
Maisha yanazidi kupanda bei
Kazi yangu ni ku make sure you doing okay
Bata la paris huko forget dubai
Na mambo yako mengine tufanya all the way
Ttu ttu ttu ttu ttu twe
Mwaga radhi mchana kweupe
Uswahilini code hizo chipupute
Ukishikwa ta, lazima ugeuke
Ttu ttu ttu ttu ttu twe
Mwaga radhi mchana kweupe
Uswahilini code hizo chipupute
Ukishikwa ta, lazima ugeuke
Breakdown breakdown
Una breakdown
Vitu visiwe vingi sana breakdown
Breakdown oya breakdown
Usije ukaingia chaka breakdown
And when you hear that sound
It’s the proof we living life
When you hear that sound
Watch Video
About BreakDown
More DARASSA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl