Nguzo Ya Moto Lyrics by CHRISTOPHER MWAHANGILA

Uwe nguzo ya moto mbele yangu
Adui wakija wasiniweze
Uwe nguzo ya moto maishani mwangu mungu
Adui wakija wasiniweze
Wamefungua vinywa
Lengo wanimeze
Naomba mungu nisaidie
Wamefungua makucha
Ili wanirarue
Naomba mungu nipiganie
Uwe nguzo ya moto mbele yangu mungu
Adui wakija wasiniweze
Uwe nguzo ya moto maishani mwangu Yesu

Uwe nguzo (Uwe nguzo ya moto mbele yangu)
Nisaidie Yesu (Adui wakija wasiniweze)
Bila wewe siwezi mungu (Uwe nguzo ya moto mbele yangu)
Maishani mwangu (Adui wakija wasiniweze)
Simama mbele yangu mungu  (Uwe nguzo ya moto mbele yangu)
Simama nitetee (Adui wakija wasiniweze)
Bila wewe siwezi mungu (Uwe nguzo ya moto mbele yangu)
Nisaidie Yesu (Adui wakija wasiniweze)

Mungu ukiwa upande wangu
Hivi ni nani atasimama mbele yangu
Yesu ukiwa upande wangu
Hivi ni nani atapambana mbele yangu
Mimi nategemea kwako mungu
Mimi naegemea kwako mungu
Mimi natumaini kwako mungu
Mimi natumaini kwako Yesu
Nikingie kifua
Uwe nguzo mbele
Nisaidie bwana
Kupigana nao
Nikingie kifua
Uwe nguzo mbele
Nisaidie bwana
Kupigana nao

Uwe nguzo (Uwe nguzo ya moto mbele yangu)
Nisaidie Yesu (Adui wakija wasiniweze)
Bila wewe siwezi mungu (Uwe nguzo ya moto mbele yangu)
Maishani mwangu (Adui wakija wasiniweze)
Simama mbele yangu mungu  (Uwe nguzo ya moto mbele yangu)
Simama nitetee (Adui wakija wasiniweze)
Bila wewe siwezi mungu (Uwe nguzo ya moto mbele yangu)
Nisaidie Yesu (Adui wakija wasiniweze)

Wewe mungu unaweza
Yesu unaweza
Mungu unaweza
Wewe Baba unaweza
Mungu unaweza
Yesu unaweza
Kupasawazisha mahali palipoparuza
Yesu unaweza
Mungu unaweza
Kuyavunja vunja mapingo ya adui zangu
Mungu unaweza
Yesu unaweza
Imani yangu mungu ni kwako
Msaada wangu mungu ni kwako
Sina mahali pengine pa kukimbilia
Ila ni kwako mungu
Ila ni kwako mungu
Sina mahali pengine pa kutegemea
Ila ni kwako mungu
Uwe nguzo ya moto kwangu
 Eeh eeh Baba (Uwe nguzo ya moto mbele yangu)
Nisaidie Yesu (Adui wakija wasiniweze)
Bila wewe siwezi mungu (Uwe nguzo ya moto mbele yangu)
Maishani mwangu (Adui wakija wasiniweze)
Simama mbele yangu mungu  (Uwe nguzo ya moto mbele yangu)
Simama nitetee (Adui wakija wasiniweze)
Bila wewe siwezi mungu (Uwe nguzo ya moto mbele yangu)
Nisaidie Yesu (Adui wakija wasiniweze)

Watch Video

About Nguzo Ya Moto

Album : Nguzo Ya Moto (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Jan 14 , 2022

More CHRISTOPHER MWAHANGILA Lyrics

CHRISTOPHER MWAHANGILA
CHRISTOPHER MWAHANGILA

Comments ( 0 )

No Comment yet

About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl