Umetokachicha Lyrics
Umetokachicha Lyrics by MABANTU
We mamacita weka pozi(eeh)
Wide pozi(eeh)
me nataka nikuposti
Sina flash nina tochi
Kwenye kochi kochi
Ama tupige kwenye vogi(aii)
Itanoga iyo
Despacito mamito
Montana(tana)
Picha keko ila kama mbezi(ua)
Tandika! location Ghana
Uswazi ila swagga Kinyamwezi(aaa eeh)
Wakisema unatumia filter
Waweke na wao
Watuonyeshe (filter)
Wakisema eti ni make-up
Wapake na wao
watuonyeshe iyeeh
Eti sio shepu ni kigodoro
Wavae na wao
Watuonyeshe (filter)
Mkorogo sio ngozi nyororo
Ila mi nitacomment
Kwa vikoba koba
Like this, umependeza hiyoo
Like this, umetoka chicha hiyo
Like this, eeh bana safi hiyo
Like this, mbona bame hiyo?
Like this, umependeza hiyoo
Like this, umetoka chicha hiyo
Like this, eeh bana safi hiyo
Like this, mbona bame hiyo?
Take picture
Take take take picture, chukua!
Take picture
Take take take picture, chukua!
Take picture
Take take take picture, chukua!
Take picture
Take take take picture, chukua!
Kwanza umetokea poa
Hakuna matata
Hapa hakuna shida
Marahaba tu ndo unapata(free)
Kuhusu penzi
Maa ondoaga mashaka
Ukinikera nitakupiga bao
Unizalie mapacha(free)
Au mpaka nikuweke dp dp
Nikupeleke bata fulani Misisipi sipi
Haters na uzuri
Wametafsiwa siki siki
Ndo kwanza siwasikii hawa waongo(waongo)
Weka pozi flani pinda mgongo(mgongo)
Siamini huu mwili ni sample ya udongo(udongo)
Acha nikupe viuno flani vya m-Congo
Like this, umependeza hiyoo
Like this, umetoka chicha hiyo
Like this, eeh bana safi hiyo
Like this, mbona bame hiyo?
Like this, umependeza hiyoo
Like this, umetoka chicha hiyo
Like this, eeh bana safi hiyo
Like this, mbona bame hiyo?
Take picture
Take take take picture, chukua!
Take picture
Take take take picture, chukua!
Take picture
Take take take picture, chukua!
Take picture
Take take take picture, chukua!
Watch Video
About Umetokachicha
More MABANTU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl