Miss Behaviour Lyrics by BOUTROSS

Yea yea yea yea yeah
Woo woo
Yea ey
Closer , distance ,  you like it no mister
Whine it calipso , you Like it

Pombe inanibamba bamba bamba
Bamba bamba bamba bamba bamba bamba bamba
Jaba na kashada, misbehave na hizo haga za mjaka
Ye ni mrembo lakini yeye ni
Danda danda danda danda danda danda danda danda danda
Jaba na ka shada , misbehave na hizo haga za mjaka
Ye ni mrembo lakini

I told my wife
Wacha ni misbehave
Vile hiyo makali ina ni Instigate
Wee una dai bank na mi si CBK
Yea I broke your heart and i’ll do it again
So I went on date with this big mama
Ohh this pressure had to discover
Boy flani ako eeh Najua huyo madam
Is he been jealous or am i been stubborn

Pombe inanibamba bamba bamba
Bamba bamba bamba bamba bamba bamba bamba
Jaba na kashada, misbehave na hizo haga za mjaka
Ye ni mrembo lakini yeye ni
Danda danda danda danda danda danda danda danda danda
Jaba na kashada , misbehave na hizo haga za mjaka
Ye ni mrembo lakini ye ni

Kausunda , Ka uzimia kwa club ni mjinga
Ashaiosha tv , radio na woofer
Jamani me walai namchuja
Me namchuja ahh
Nishaimpata kwa roadi nikamkuta
Nikampeleka kejani nikaisunda
Nikamtolea bakora kimchuda
Ni ma kelele kelele nitambugda

Pombe inanibamba bamba bamba
Bamba bamba bamba bamba bamba bamba bamba
Jaba na mashada, misbehave na hizo haga za mjaka
Ye ni mrembo lakini yeye ni
Danda danda danda danda danda danda danda danda danda
Jaba na mashada , misbehave na hizo haga za mjaka

Dem ni mrembo like uuuhh
Don't do me like that, don't misbehave
Come close I got the juice
Coz you be running running running
Niko gej, niko maji
Nikiwa maji nakuanga mtiaji
Viatu zangu usikanyage ni safi
Niko madree natingisha manati

Pombe inanibamba bamba bamba
Bamba bamba bamba bamba bamba bamba bamba
Jaba na mashada, misbehave na hizo haga za mjaka
Ye ni mrembo lakini yeye ni
Danda danda danda danda danda danda danda danda danda
Jaba na kashada , misbehave na hizo haga za mjaka

Watch Video

About Miss Behaviour

Album : Miss Behaviour (Single)
Release Year : 2023
Added By : Farida
Published : Jun 16 , 2023

More BOUTROSS Lyrics

BOUTROSS
BOUTROSS
BOUTROSS
BOUTROSS

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl