Demand Lyrics
Demand Lyrics by BOUTROSS
Yeah yeah yeah
Woo woo woo
Woo woo woo ey
Woo woo woo ey
Woo woo woo ey
Nikona demand Nikona demand
High demand , very high demand (very high demand)
Vile speed ilidunk , Vile nafeelingi bad
Vile na high demand , vile na high demand ( yeah cheki )
Nikona demand nikona demand
High demand , very high demand (very high demand )
Vile speed ilidunk , Vile nafeelingi bad
Vile na high demand , vile na high demand ( cheki )
Buty nilikuwanga na bash iliisha nikiwa under arrest , neighbour alipigia mambang’a
Ati kelele inampea unrest , juu nilimwambianga relax , wacha hiyo story ya umbea
Kumbe alicatch vibaya sahii we unajuuanga the rest
Mambang’a walisemanga unakaanga familiar, mbona unakaa celeb
Mbona unasema ati bud na unakula hadi stems ey
Niaje unatambua freedom saa ile uko ndani ya cell ey
Aje dame yangu anadaingi dame ya nesh ( Whoa yeah )
Sielewi nini unafanyanga less ,eyy
Baby out of respect ni ati huyo kijana ako blessed
Si shida yako ni nesh , nesh anafanyanga mess
So baby what you expect ni ati huyo kijana ako blessed juu
Nikona demand Nikona demand
High demand , very high demand (very high demand)
Vile speed ilidunk , Vile nafeelingi bad
Vile na high demand , vile na high demand ( yeah cheki )
Nikona demand Nikona demand
High demand , very high demand (very high demand)
Vile speed ilidunk , Vile nafeelingi bad
Vile na high demand , vile na high demand ( cheki )
(cheki cheki cheki )
Nikona high demand , tire inafungwa na handy man
Huskii Tangu nishike kakitu sipendi kusanif ma bangi man
Nakemba shawty amecarry ma vitu na akona mbaba rada ni gani
Leta hiyo namba ama ni gwan? Nikona gwala bila kitambi naweza zimwaga
Unataka ma versace balenciaga, prada ama nikupigishe gabana
Umevaa mbwakni baby nitakusuka kama nganya
Hapa tunaongeza hadi haga whoa yeah
I’m the new sheriff in town wakiniona wanapiga manduru whoa eyy
Wallet imejaa ma brown kama dental ya msee wa nakuru ( whoa ey )
Kuru ni noma nigenje , haunitakia mawembe, nakata mangoko vicray cray
Ambia haka ka hater katembee, kaende katulize nyege
Naweeza supply hiyo stick bila tembe na demand inapandanga daily
Nikona demand Nikona demand
High demand , very high demand (very high demand)
Vile speed ilidunk , Vile nafeelingi bad
Vile na high demand , vile na high demand ( yeah cheki )
Nikona demand Nikona demand
High demand , very high demand (very high demand)
Vile speed ilidunk , Vile nafeelingi bad
Vile na high demand , vile na high demand ( cheki )
Woo woo woo yeah
Woo woo woo yeah
Nikona demand , haa
Watch Video
About Demand
More BOUTROSS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl