Teveva Lyrics by BOBO NYOSTO


Kappy Official, Bobo Nyosto
Bulla bulabaa, Fralee Bolo
(Siren on the Beat)

Shika kitu mpaka teveva teveveve
Niko baze nikukereva njeve njeve
Shika sterling kama dereva, reve reve
Niko macho niko rithe chana veve

Ati leo nikuteveva teveveve (Teveveve)
Teveva teveveve
Piga kitu mpaka teveva teveveve  (Teveveve)
Teveva teveveve

Ati mi ndo master coco
Buda wacha yapya kama umbwa koko
Napita kama prr nikiteka tu matoto
Kang kang ngoja buda basi upigwe ngoto

Kama huturadi basi hii ndo Bobo Nyosto
Tumewasha moto ni kuleak kuna joto mayoh
Kazi yenu kubwa ni kupiga mboto mnaboo
Kwani leo usiku tutakula foto

EEh bula bulaba

Shika kitu mpaka teveva teveveve
Niko baze nikukereva njeve njeve
Shika sterling kama dereva, reve reve
Niko macho niko rithe chana veve

Ati leo nikuteveva teveveve (Teveveve)
Teveva teveveve
Piga kitu mpaka teveva teveveve  (Teveveve)
Teveva teveveve

[Fralee BoloKing]
Sijai tense ka past tense
Morio ringo anaringa na biceps
Wife anataka s*x 
Pro face kanikumba my chest

Bana anataka nichape pongi 
Ni ka banger mchana
Shike shike mjulu
We ndo banger ya ona
Lamba lamba lakini usigeuze piranha
Mama ng'ang'ana we fika Namanga
Pongi sticky mpaka ikishika nakwama

Venye natema sidhani mtafika ligi
Na joto za mambogi niliwawachia nyinyi
Ju mbona nibishane na watu hawanisaidii
Tukichochana kwa Insta vinara IG

Eh nadai origi biz maziwa fiti
Linki na mimi utabaki umetoboka
Ju hapa mi kinara tii (Yes burn boy)
Ju hapa mi kinara mi huwa guess bamboo

Shika kitu mpaka teveva teveveve
Niko baze nikukereva njeve njeve
Shika sterling kama dereva, reve reve
Niko macho niko rithe chana veve

Ati leo nikuteveva teveveve (Teveveve)
Teveva teveveve
Piga kitu mpaka teveva teveveve  (Teveveve)
Teveva teveveve

Bullabong vile tuko rende kuteveva marende
Na zangu ashanichocha nitoe nguo nibaki ndethe
Na vile nazichana utadani mi ndio vegie
Na nikicheki Bolo ninadhani ye ndo Mwende

Veve ya losha na geri si ya mamwere
Na ngumi si hukunja utadhani ni ngumi mbwegze
Dudu si husunda tukiteveva maveve
Ju zangu ishalipuka nikujiwe na kidenge

Shika kitu mpaka teveva teveveve
Niko baze nikukereva njeve njeve
Shika sterling kama dereva, reve reve
Niko macho niko rithe chana veve

Ati leo nikuteveva teveveve (Teveveve)
Teveva teveveve
Piga kitu mpaka teveva teveveve  (Teveveve)
Teveva teveveve

Ati nipe saba hesabu ju ya saba
Shot kumi na saba lazma kuzigwata
Sauti ya ulaya ju wako ni malaya
Mimi ndio sturborn mezani kuwashow nikikill

1, 2, 3 fike hadi saba
Kama ni mbogi ya mafathe ni namba saba
Na wasupa wanare wenye mahaga
Kuwakaza kukaza bila mahandas

Sa ati mi ni mgenje kucheza kama cashling
Ka ni toto tu keki nitamwaga ndani
Ju slim toto ni morio toka zamani
Tunawateka kuteka ni mchezo ndani

Shika kitu mpaka teveva teveveve
Niko baze nikukereva njeve njeve
Shika sterling kama dereva, reve reve
Niko macho niko rithe chana veve

Ati leo nikuteveva teveveve (Teveveve)
Teveva teveveve
Piga kitu mpaka teveva teveveve  (Teveveve)
Teveva teveveve

Shika kitu mpaka teveva teveveve
Niko baze nikukereva njeve njeve
Shika sterling kama dereva, reve reve
Niko macho niko rithe chana veve

Ati leo nikuteveva teveveve 
Teveva teveveve
Piga kitu mpaka teveva teveveve  

Sijaitense na past tense
Sijaitense na past tense
Sijaitense na past tense
(Siren on the beat)

Watch Video

About Teveva

Album : Teveva (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 08 , 2020

More BOBO NYOSTO Lyrics

BBI
BOBO NYOSTO
BOBO NYOSTO
BOBO NYOSTO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl