BENZEMA Story za Vanessa II cover image

Story za Vanessa II Lyrics

Story za Vanessa II Lyrics by BENZEMA


Nishamada kimedi
Rewind time ibaki ile saa tulikuwa walevi
Dunda ni ya kwanza Changes Westy
Tulikuwa chupri lakini na mapenzi

Kaka braza wacha nikuambie kitu
Usiwai cheza na dem anapenda anasa
Najiuliza singefanya blunder
Ungekuwa wangu ama unatembezwa kwa chama

Aii aii mambo haiko sawa
Niko date mtaani natafta dem wa pawa
Usiniconfuse na ule ghost wa Power
Nakutumia flossy kam ndege haina mabawa

Anniverssary nilikubuyia pajama
Land ni kumea ganja kwa shamba
Ndo tuongeze ladha ya kukatana nyama nyama
Bado uko na talent ya umalaya kwa kitanda

Najua unapenda kuweka mguu ndani ya mchanga
Dettol heart ranje form ilikuwa inakubamba
Gotea mother mwambie mi ni father
Mtoi atakuwa mras kushinda warasta warasta

Anyway bye nimerauka sana
I'ma see you son for later
Nikuwe na maana ndo ni improve grammar
Usiweke lawama juu ya mapenzi gharama

Watch Video

About Story za Vanessa II

Album : Story za Vanessa II
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 01 , 2020

More BENZEMA Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl