Doorstep Lyrics by BENSOUL


Hey, lovely umekuja na nani
Juu nimenoki vile unacheka so bubbly
Nipe mechi ata tupige ka friendly
One time, nikuonyeshe mapenzi
But your auntie auntie
Hapendi wanati
Kwanza akiniona, anaonanga bangi
Ata baba yako amenishika mashati
Ila naomba wewe unipe nafasi yeah yeah
The good time are calling
Why you ignoring?
Don’t say you’re boring and my heart is ready for you
The fun times are calling
I should be loving you
If I hurt you am sorry
But tonight am coming for you

And I’m at your doorstep
Niko mavela na zimenishow ni wewe
Mitabisha hadi babako atoke
Juu sitoki hapa mpaka we utoke yeah yeah
And I’m at your doorstep
Niko mavela na zimenishow ni wewe
Mitabisha hadi babako atoke
Juu sitoki hapa mpaka we utoke yeah yeah
Juu sitoki hapa mpaka we utoke yeah yeah

Yo yo
Zzero
Kama source mi ndio sauce
Mi ndio boss, mi ndio world boss
Cheki, twende
Nashika pen na paper na siko ketepa
Si nikuzitoka ni, tatu kwa mboka
Miupendanga mawhiskey wenging mavodaka
Kuna wasee upenda miti
Wengine mogoka
Na si maajabu, ukilegeza unatokwa
Tusupa leo ni twingi
Ka uko chini, unakopa
Look safi ni ka nimekuja na chopper
Mi ukatana na panga round ingine na shoka
Rada safi kwanza nikiwa na nike
Aka ni jose mary ndio ukuanga mi wifey
Ye ndio manze unafanya nifanye vitu staki eh
Nisha jireport kwake nishajistaki
Nna taki ya kumsihikia kwa maji kaa samaki
Ni shhh nipunguze wasiwasi  ibaki
Niaje kunanukia mananasi?
Ama ni nana ni amenikulisha nanasasi ?

And I’m at your doorstep
Niko mavela na zimenishow ni wewe
Mitabisha hadi babako atoke
Juu sitoki hapa mpaka we utoke yeah yeah
And I’m at your doorstep
Niko mavela na zimenishow ni wewe
Mitabisha hadi babako atoke
Juu sitoki hapa mpaka we utoke yeah yeah

Watch Video

About Doorstep

Album : Doorstep (Single)
Release Year : 2022
Copyright : © 2022 Sol Generation Records
Added By : Farida
Published : Apr 20 , 2022

More BENSOUL Lyrics

BENSOUL
BENSOUL
BENSOUL
BENSOUL

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl