Nibembee Lyrics
Nibembee Lyrics by BARNABA
(Ayolizer)
Nah nah nah nah aah
Kama tatizo pesa, niko radhi kuiba(Aah)
Kwako niseme nini nawe wangu swahiba(Aah)
Mtoto mwendo wa jongoo amejawa ghaiba
Kutwa juba swala tano, akulinde Kalima aah
Nampa chini ya tikiti
Nami ndo parachichi
Leo umenasa madichi
Penzi twalichokocha
Masaji ya asali mbichi
Maji mixer ya hiliki
Michezo samasoti
Dodo nimeokota
Baby wacha nibembee
Kwa penzi lako nibembee
Nimefika kikomo nibembee
Kwa vyako vinono, nibembee nibembee
Mmmh majagala chini, nibembee
Hebu jipinde kwa chini, nibembee
Kwako nitake nini tena, nibembee
Wacha, nibembee nibembee
Aii mimi
Aii mimi
Vocha yako dhamani
Ya kipato changu kidogo
Anivumiliaga
Kwa vidogo salary
Ye mtunza vya ndani
Nnje kuvitoaga mwiko
Penzi sangara shombo
Kubishana ni kawaida
Beiby we ndo maji kisima
Sharti uiname(Teke teke)
Zamu ya kwako mazima
Msumari nishindilie(Teke teke)
Kwako nitake nini tena?
Unavyoikunja mzima mzima(Iweke iweke)
Visa visa vina
Hadharani washuhudie(Iweke iweke)
Nampa chini ya tikiti
Nami ndo parachichi
Leo umenasa madichi
Penzi twalichokocha
Masaji ya asali mbichi
Maji mixer ya hiliki
Michezo samasoti
Dodo nimeokota
Baby wacha nibembee
Kwa penzi lako nibembee
Nimefika kikomo nibembee
Kwa vyako vinono, nibembee nibembee
Mmmh majagala chini, nibembee
Hebu jipinde kwa chini, nibembee
Kwako nitake nini tena, nibembee
Wacha, nibembee nibembee, nibembee
Aii mimi, aha
Nah nah nah nah, nah
Mtoto kapakwa msiwasili, nibembee
Danga na vuti, nibembee
Oooh niseme nini, nibembee
Nibembee, nibembee, nibembee
Classic
Watch Video
About Nibembee
More BARNABA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl