Dhugudha Lyrics by ASHMALEY


Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha
Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha

Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha
Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha

Tuliza boli bro hapa kuna ngori jo
Na ukimbao cheza chini kama holy John
Na ju unacheki niko busy na ka pori yo
Pia ukidai unaweza kata kwa ki-corridor

Bora usimbao na usiseme huskii utamu bro
Ju hii ni ngori trust tuweke pori
Mdogo mdogo mpaka uwike pole
Mdogo mdogo mpaka uwike pole

Awe kitoto kipoko ama kipoa
Kipigwe miti sabini hadi kiwike aah
Takataka sehemu mbaya kamatako
Shika mtoto kamatako

Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha
Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha

Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha
Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha

Sato ni leo nafeel nikule kitoweo
Na kileo ni rungu ya kiromeo
Chuma ni moto ma, 
Hadi magoti zinatetema

Ah twende kejani ma, nishike matiti ma
Hizo makaegondo, zinafanya nifeel kukung'ondo
Twende mtaani ma tu misbehave kama makondoo

Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha
Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha

Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha
Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha

Banana boy omogambi
I'm your friend omosani 
Shake hiyo pongi little mami
Usiwe tu na haya 
Kila mtu hufanya dhambi

Zungusha dhugudha 
Rangi supuu ya Lupita
Nita kung'uta kung'uta 
Kama Mbusii, Bonokode 
Nina sumbuka, kumbuka
Unanifanya sina hewa yangu 
Kong'usa kong'usa 

Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha
Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha

Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha
Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha

Odi wa Murang'a mi nadai githutha
Ni kichimbi fiti na keroko gogo'thegetha
Nikimwaga nnje ni kimuti imeteleza
Dhigitha dhigitha hadi abonge kingereza

Walipoteza uvajo kwa hizo mikono zao
Konukaloria kanjo kwa hizo midomo zao
Alipata ngotha yangu kwa kibeti yake
Na akapata riz yangu kwa bed ya mamake

Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha
Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha

Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha
Hizo ma dhugudha dhugudha
Vile unazungusha zungusha

Watch Video

About Dhugudha

Album : Dhugudha (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 04 , 2019

More ASHMALEY Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl