BRYAN BLACK Confidence  cover image

Confidence Lyrics

Confidence Lyrics by BRYAN BLACK


I've been thinking vile naweza kuwa ka billionaire
Idea poa inakam ingine hukuja ikipotea
Ama nikuwe banker nikizishika nitachorea
Lakini paparazzi atanishikia kwa thin

Mi hupendaga beats mi hutamaningi ata kuziprepare
Kudownload zile freshi zile sa zimetokea
Na dumbala na mabeats sijui vile zilitokea
Nikishikiwa piracy sijui vile nitajitetea

Cheki tukuwe serious bana nitatokea kweli
Na vile mi huskia eti wao hukuwa unfair
Daily naona nikigrow vizii
Si ata wewe unaona ninaflow vireal

Basi producer leta beat, producer leta pia na pamba real
Kusema ukweli sijui naongea na nani mpaka saa hii
Nataka mtu aniambie vile talent husanya coin
Mi ni god lakini hio beat ikam boy

Clap ndio upatie Black hio confidence
Clap ndio upatie Black hio confidence
Black kitu anakosa ni confidence
Clap ndio upatie Black hio confidence

Clap ndio upatie Black hio confidence
Clap ndio upatie Black hio confidence
Black kitu anakosa ni confidence
Clap ndio upatie Black hio confidence

Attention mi hutaka itoke haitoki
Nimezama chini ya maji vitu zangu zote lowkey
Mabeste hudhani bazenga ako kazi eti sisoti
Najua kudunga vida but cheda haitoshi

Aki nimeiva sijui mbona na overcook
Natosha mboga ya kushibisha wathii hadi majuu
Nafaa by sai nianze kuitwa guru
Nikipanda stage niskie wapi nduru

Aki tangu nizaliwe nimepandaga mat
Ni 2020 bana si mtu anilipie cab
Maisha yangu naskia colour yangu haimatch
Rangi ya thao inademand strong match

Ka kufake accent kiu classes
Vitu ndogo ndogo ka for example
Did my Uber driver just forget me today
It's really getting late

Clap ndio upatie Black hio confidence
Clap ndio upatie Black hio confidence
Black kitu anakosa ni confidence
Clap ndio upatie Black hio confidence

Clap ndio upatie Black hio confidence
Clap ndio upatie Black hio confidence
Black kitu anakosa ni confidence
Clap ndio upatie Black hio confidence

Movie si movie kali, ka movie kali
Haijapatiwa hype ya kutosha na wadau
Ngoma si ngoma kali, ka ngoma kali
Haijapatiwa hype ya kutosha na wadau
Black ni mkali lakini si mkali ka
Hajapewa hype ya kutosha na wadau

Enda chini, ah chini go down low
Enda chini, ah chini go down low
Enda chini, ah chini go down low
Enda chini, ah chini go down low

Ruka juu, ah ruka juu
Ruka juu ah banjuka tu
Ruka juu, ah ruka juu
Clap clap clap clap

Clap ndio upatie Black hio confidence
Clap ndio upatie Black hio confidence
Black kitu anakosa ni confidence
Clap ndio upatie Black hio confidence

Clap ndio upatie Black hio confidence
Clap ndio upatie Black hio confidence
Black kitu anakosa ni confidence
Clap ndio upatie Black hio confidence

Watch Video

About Confidence

Album : Confidence (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Django Records
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 30 , 2020

More BRYAN BLACK Lyrics

BRYAN BLACK

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl