AMBWENE MWASONGWE Moyo Wa Ibada cover image

Moyo Wa Ibada Lyrics

Moyo Wa Ibada Lyrics by AMBWENE MWASONGWE


Wengi wamekusifia
Wengi wamekuimbia
Wengi wamekutolea bwana , sadaka na maombi mazuri na ibada
Natamani nikusifu
Natamani nikuimbie
Nataka nikutolee ibada, sadaka na maombi hujawahi kuyasikia
La maneno yananipelea
Na matendo yananikosa
Yamepimwa kwenye mizani
Yameeonekana ni mepesi
Mawazo yangu hayatoshi
Fikra zangu ni  laini
Hata niweze kukusifu
Uketiye patakatifu
Sasa naomba maneno na mawazo ya moyo wangu yapate kibali mbele zako

Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewew ni wewe bwana

Nimeshindwa kuhesabu
Uliyofanya kwangu hayahesabiki
Hakuna namba yeyote
Inayoweza kupima wema wako kwangu
 Imetafuta kitu gani
Nilivhoanza kukupa ?
Li unirudishie
Nimegundua nilivyonavyo vyote
Wewe mungu ndiwe ulianza kunipa kwanza
Nikurudishie nini ?
Kwa ukarimu ulionitendea
Nimejaribu kufanya vizuri
Ili yamkini niwazidi wote ilaaa
Nimetafuta sadaka nzuri nitoe
Ibrahimu ameniwahi
Nimetafuta moyo mzuri wa upole
Moyo wa musa umenishinda
Nimetefuta staili nzuri nivheze
Daudi kacheza zote
Sasa naomba maneno na mawazo ya moyo wangu yapate kibali mbele zako

Sasa nimeshasogea
Kwenye vilindi
Vya moyo wa ibada
Huko yanakosikika
Maneno haijuzu mwanadamu kuyanena
La ninatetemeka
Maana kiti chako
Kina utukufu mwingi
Na tena jina lako
Unaitwa mungu wa yasiyowezekana
Wewe waweza chota maji kwa wavu
Tena waweza kuhifadhi giza nuruni
Wewe waweza penda mlima
Kwa baiskeli isiyo na mnyororo
Wewe weweza piga mruzi
Huku umefumba maji mdomoni
Wewe waweza vunja jiwe kwa yai
Waweza nasa chuma kwa kijiti
Napata ugumu wa kukusifu
Maana sifa hizi unazijua zote
Sasa naomba maneno na mawazo ya moyo wangu yapate kibali mbele zako

Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana
Ni wewewni wewe bwana
Ni wewe ni wewe bwana

Watch Video

About Moyo Wa Ibada

Album : Moyo Wa Ibada (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Oct 04 , 2021

More AMBWENE MWASONGWE Lyrics

AMBWENE MWASONGWE
AMBWENE MWASONGWE
AMBWENE MWASONGWE
AMBWENE MWASONGWE

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl