Kenyan young female fast-rising artists Alma and Ssaru team up  to release their first colla...

Wacha Lyrics by ALMA


Wacha wacha wacha
Alma na SSaru wa Manyaru
(Ricco Beatz Mr 808)

Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Wacha wacha wacha basi wacha!

Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Wacha wacha wacha basi wacha!

Wacha wacha kuna kitu mimi nataka
Fika bei, wacha panganga stori mingi nilikata
Bobo shanta mi rasta rasta
Ulikula blueticks na nilikuwa na data

Gai shore aki manze iza bratha
Hufiki bei ya kanyau nyau
Ka ni feature bado uko out out
Ka ni show ni mathao thao

1+2, + 3 nimeiva mao
Niko na Ssaru wa Manyaru
Zimeraru tunafyatu 
Zimeshika nataka tattoo
Rada ni safi naeza bonga chafu
Nataka kula kitu tam tam tam
Kama dafu 

Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Wacha wacha wacha basi wacha!

Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Wacha wacha wacha basi wacha!

Niko kwa petrol station na kinyaru
Mi ni hatari ju mi ni Ssaru wa manyaru
Jini mtu hapa mi ndio kifaru
Hahaha speed ni ya Subaru

Nime-upgrade mi ni star
Na hii ni Star Times
Unataka date beba tu pesa ya lunch time
Buda usitense sit down this is my time
Niko right this have never been the wrong time

So calm down ju downtown leo ni man down
Wameningora wanataka kunihunt down
Mi ni Ssaru buda hamwezi ni shut down
Huh bro Imma gun it down

Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Wacha wacha wacha basi wacha!

Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Wacha wacha wacha basi wacha!

Hii ni trailer chill movie inakuja
Mi ni waider na nguvu za giza
Na hi ni trailer sio pick-up my nigga
Hii ni banger wazimu hebu skiza

Okey Ssaru nimekuget 
Mad hit hii ni threat
Nawakojolea bila hata kutoa belt
Aii okey bila hata kutoa belt
Aii okey bila hata kutoa belt

Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Wacha wacha wacha basi wacha!

Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Kama huwezi fika bei basi wacha (Wacha)
Wacha wacha wacha basi wacha!

 

Watch Video

About Wacha

Album : Wacha (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 10 , 2020

More ALMA Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl