Basi Lyrics

ZIKY MTANAH Feat AKOTHEE Kenya | Afro-soul, Afro-soul

Basi Lyrics


Ziky Mtanah ft Akothee Lyrics

Shukurani zangu zote 
Zirudi kwa Maulana
Aliye nijalia na vyote aaah

Kwanza we ndo pasha wangu 
Ulo baki na roho yangu
Nitoe chungu chungu 
Aaai moyoni mwangu
Uwe changamoto kwangu
Kwa mama wanangu
We ndo nyota yangu
Kaa na uzima wangu 

Ruhusa chukua kwangu 
Ucheze na roho yangu
Ucheze na mwili wangu
Kwa sababu wewe ni wangu

Ooh chukua kwangu 
Ucheze na roho yangu
Ucheze na mwili wangu
Sababu wewe ni wangu

Oooh ni wewe basi 
Aaah ni wewe basi
Aaah ni wewe basi
Na mwengine pasi

Eeeii ni wewe basi 
Aaah ni wewe basi
Oooh ni wewe basi
Kwa mwengine pasi

Kwa mapenzi basi
Mwenzenyu basi
Nimependwa basi
Walahi basi

Oooh mapenzi basi
Mwenzenyu basi
Nimependwa basi
Walahi basi

Usinipende leo 
Mara kesho kaenda
Mapenzi chungu baba 
Walahi nitalia

Ooh usinipende leo 
Kesho kaenda baba
Mapenzi chungu baba 
Walahi nitalia

Ooh nitalia na nani?
Ukienda nitalia na nani
Nitabaki na nani?
Ukienda nitabaki na nani?

Mapenzi ongeza kidogo
Wivu zidisha kidogo
Hasira  punguza kidogo
I love you baba

Mapenzi ongeza kidogo
Zidisha kidogo
Punguza kidogo
I love you mama

Oooh ni wewe basi 
Aaah ni wewe basi
Aaah ni wewe basi
Na mwengine pasi

Eeeii ni wewe basi 
Aaah ni wewe basi
Oooh ni wewe basi
Kwa mwengine pasi

Mama Akothe 
Oooh shengerera mama
Producer Image 
Jose K

Oooh mama Akothe 
Ai shengerera mama
Producer Image 
Jose K

Jungle neither record

ZIKY MTANAH (1 lyric)

Ziki_Kenya Is a new upcoming artist signed by The Legendary Akothee Empire.

2019 Ziky released a new single featuring Akothe " Basi " which is his his first single.

Leave a Comment