Nakupenda Lyrics
Nakupenda Lyrics by VIJANA BARUBARU
Kuna muda njoo tupoteze
Raha ukinilalia
Siku inapita ikienda wapi
Ka sijakupigia
Ukinihitaji mi ntakosaje nafasi
Sema ntakukujia
I’ve been asking God for you
Nilifunga nione miujiza
Kufungua macho I saw you
Down on your knees no wasting time
Wazazi wajuane, family time
Bouncing baby ndio next in line
Meant to be it was set in time
Love ka hii, it’s ahead of time
Honeymoon high, the time of your life
Promise we’ll stand the test of time
Sadly forever is not enough
Nakupenda, kama nyama choma
Soda baridi na kadoughnut
Nikiwa nawe me hunona
My sukari
Nakupenda, kama nyama choma
Soda baridi na kadoughnut
Nikiwa nawe me hupona
Dakitari
Ni wera, ni wera, ni wera, ni wera
Kuunda family
Tuanze wera tuunde family
Down the aisle with you
Come home to you
Ni wera, ni wera, ni wera, ni wera
Kuunda family
Tuanze wera tuunde family
Down the aisle with you
Come home to you
Kama kukupenda dhambi
My soul is a dark night
Tuleave a permanent mark
Endless blood line
Love at first sight
Sacred soul tie
Talk to me with your eyes
Nitajua kenye unadai
Nimekuona ukiwa
Thirsty, hungry, nasty
Kukutunza kazi
Yangu kirasmi
Nakujengea makao
Kabla nipate mazao
Jipange na hio thao
Huyu ni wa nani
Huyu ni wangu
Ye hutuma ndanganye maboyz
Siko kwangu
One plus one hesabu za kutoroka mataabu
Nimjazie kikapu, nependa vile
Nakupenda, kama nyama choma
Soda baridi na kadoughnut
Nikiwa nawe me hunona
My sukari
Nakupenda, kama nyama choma
Soda baridi na kadoughnut
Nikiwa nawe me hupona
Dakitari
Ni wera, ni wera, ni wera, ni wera
Kuunda family
Tuanze wera tuunde family
Down the aisle with you
Come home to you
Ni wera, ni wera, ni wera, ni wera
Kuunda family
Tuanze wera tuunde family
Down the aisle with you
Come home to you
Uuuuuhhh
Nikwa nawe mi hunona
Nikwa nawe mi hupona
Down the aisle with you
Come home to you
Watch Video
About Nakupenda
More VIJANA BARUBARU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl