Mimi Lyrics
Mimi Lyrics by VERA SIDIKA
My skin don't tell me who I am
My colour don't tell me where am from
Money don't care, black or white bado utahusle
Changamoto kibao, haters ndo hao call it a struggle
Maneno, maneno kila kukicha maneno
I wish you would understand
Sote kwa mwenyezi tuko sawa
Cheupe cheusi(Ni kwa kupenda)
Kubadili madini(Ni kwa kupenda)
Kutenda mema(Ni kwa kupenda)
Ningali mimi(Mi ni yule yule)
Ubaguzi wa nini?
Ningali mimi(Mi ni yule yule)
Ningali mimi(Mi ni yule yule)
Fitina ya nini?
Ningali mimi(Mi ni yule yule)
Boss lady mimi nishapanda bei
Mtajuaje?
Nichimbie kisima muingie wenyewe
Wenye wivu mjue
Mola mpaji kwa wote
Tena chuki bure,
Haina maana yoyote
Maneno, maneno kila kukicha maneno
I wish you would understand
Sote kwa mwenyezi tuko sawa
Cheupe cheusi(Ni kwa kupenda)
Kubadili madini(Ni kwa kupenda)
Kutenda mema(Ni kwa kupenda)
Ningali mimi(Mi ni yule yule)
Ubaguzi wa nini?
Ningali mimi(Mi ni yule yule hey)
Ningali mimi(Mi ni yule yule)
Fitina ya nini?
Ningali mimi(Mi ni yule yule hey)
Mi ni yule yule hey
Mi mi mi mi mi mi
Mi ni yule yule hey
Mi mi mi mi mi mi
Mi ni yule yule hey
Mi mi mi mi mi mi
Mi ni yule yule hey
Mi mi mi mi mi mi
Ningali mimi(Mi ni yule yule)
Ubaguzi wa nini?
Ningali mimi(Mi ni yule yule hey)
Ningali mimi(Mi ni yule yule)
Fitina ya nini?
Ningali mimi(Mi ni yule yule hey)
Ningali mimi(Mi ni yule yule)
Ubaguzi wa nini?
Ningali mimi(Mi ni yule yule hey)
Ningali mimi(Mi ni yule yule)
Fitina ya nini?
Ningali mimi(Mi ni yule yule hey)
Watch Video
About Mimi
More VERA SIDIKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl