Ni wewe Was kuabudiwa by TUMAINI Lyrics

 NI wewe wa kuabudiwa ni wewe 
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe mwenye nguvu na uwezo ni wewe 

Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe 
Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima ni wewebMwenye nguvu na uweza ni wewe

Ufanye moyo waaangu uwe wa kukuaabudu baba yangu
Yafanye maisha yaaangu yawe ya kukusifu weweee
Maana pweke wastahili heshima na utukufu mwenye nguvu na uweza ni wewe
Peke yako wastahili heeshima na utukufu mwenye nguuvu na heshima ni wewe

Nilizaliiiwa mimi kwa neeema yako niliuuumbwa baba kwa mfano wakoooooo
Yani pasa nikutumikie wewe peke maana wewe tu ni mwenye nguvu na uweza 

 

Music Video
About this Song
Album : Ni wewe wa kuabudiwa (Single),
Release Year : 2012
Copyright : ©2012
Added By: Trendy Sushi
Published: Mar 05 , 2020
More Lyrics By TUMAINI
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment