Fahari Yangu ni Yesu Lyrics

TEDDY K Feat EMMANUEL MGOGO Tanzanie | Gospel,

Fahari Yangu ni Yesu Lyrics


Fahari yangu
Fahari yangu
Fahari yangu
Fahariiii 

Fahari yangu ni Yesu aah, fahari yangu
Fahari yangu ni Yesu aah, fahari yangu
Naona raha kuwa na Yesu aah, fahari yangu
Naona raha kuwa na Yesu aah, fahari yangu

Neno msalaba kwao ooh wapoteao
Neno msalaba kwao ooh wapoteao
Wanaona ni ujinga eeh ni upuzi
Wanaona ni ujinga eeh ni upuzi

Lakini neno msalaba kwetu
Tuliomwamini Bwana
Ni nguvu, ni uzima tele
Ni uponyaji, amani yetu

Ni nguvu, ni uzima tele
Ni uponyaji, fahari yetu

Fahari yangu
Fahari yangu
Fahari yangu
Fahariiii 

Fahari yangu ni Yesu aah, fahari yangu
Fahari yangu ni Yesu aah, fahari yangu
Naona raha kuwa na Yesu aah, fahari yangu
Naona raha kuwa na Yesu aah, fahari yangu

Yapo mambo mengi
Wanadamu wanajivunia
Yapo mambo mengi
Wanadamu wanajivunia

Inaweza kuwa ni mali
Magari na majumba
Inaweza kuwa ni mali
Magari na majumba

Inaweza kuwa ni fedha
Elimu, umaarifu
Inaweza kuwa ni fedha
Elimu, umaarifu

Lakini yote hayo 
Ni ya muda tu
Lakini yote hayooo

Tena bila Yesu ni hasara tu
Tena bila Yesu ni hasara tu
Ni heri kuwa na Yesu wa uzima
Ni heri kuwa na Yesu wa uzima

Fahari yangu
Fahari yangu
Fahari yangu
Fahariiii 

Fahari yangu ni Yesu aah, fahari yangu
Fahari yangu ni Yesu aah, fahari yangu
Naona raha kuwa na Yesu aah, fahari yangu
Naona raha kuwa na Yesu aah, fahari yangu

Leave a Comment