Show You Off Lyrics
...
Show You Off Lyrics by SAVARA
Hallo hallo nimekuaja tangazo
Muoneni kwa macho
Ameifunga milango ya roho yangu mama
Girl I wanna show you off show you off show you off
Unawafinish kumalo
Girl I wanna show you off show you off show you off
Umenifinish kumalo
Roho zimegongana hii ni ajali ya mapenzi
Si tulishapendana
Ananienzi namuenzi
Alivyoumbika mashala
Katoto kanyoto yani star
Kanaleta meangaza
Staki kupoteza magidha
Wacha niringie duniaaaaa
Hallo hallo nimekuaja tangazo
Muoneni kwa macho
Ameifunga milango ya roho yangu mama
Girl I wanna show you off show you off show you off
Unawafinish kumalo
Girl I wanna show you off show you off show you off
Umenifinish kumalo
Mapenzi yamejaa kwa hewa
Zima taa na upunguze AC
Ni nani aliyekukera
Anaishi wapi nimtumie jeshi
Nliapa sitapenda tena lakini leo nafungua Kesi
Kati yetu kuna zero sentimita
Hakuna kilomita
Kiuno chako chaniita naitika
My wangu sinyorita
Hallo hallo nimekuaja tangazo
Muoneni kwa macho
Ameifunga milango ya roho yangu mama
Girl I wanna show you off show you off show you off
Unawafinish kumalo
Girl I wanna show you off show you off show you off
Umenifinish kumalo
Watch Video
About Show You Off
More SAVARA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl