RAPCHA Vunga cover image

Vunga Lyrics

Vunga Lyrics by RAPCHA


Fanya kama hujaniona
Fanya kama hujaniona
Tukill marangona
Fanya kama hujaniona
Ka unapigo za kile

Fanya kama hujaniona
Fanya kama hujaniona
Tukill marangona
Fanya kama hujaniona
Ka unapigo za kile basi

Huzini fana pia
Mi I keep it 99 plus 1 mia
Leo nasafisha njia, save me
No one wanna come here
Earth kila mchongo wanacome here utaaminia

Naanza na mabishoo wa mjini
Kupendeza na kupiga uno ndo mnachojua nyinyi
Simu na magari mnahongwa ila mnavyovimba 
Sijui mnaringia nini?

Ex wangu alinitema nilipofika chuo tu
Baadhi ya masela wakatukacha walipofika chuo tu
Sasa nyie wanachuo mkiacha hio mihogo 
Mnashindia kila siku, hivi mnaringia nini?

Ila baadhi ya makonda ni wabishi
Na kuna walinzi wanaowazidi maboss kwa ubishi
Unanunua kitu kwa hela yako 
Ila muuzaji anavyokuvumbia sijui anaringia nini

Mpenzi wako bana tunamjua
Hata watu wanaoruka nao kama wote tunawajua
Ila tunakaa kimya kwa sababu hayatuhusu
Haya tueleze unaringia nini

Fanya kama hujaniona
Fanya kama hujaniona
Tukill marangona
Fanya kama hujaniona
Ka unapigo za kile basi

Mi sina mapepe najua
Pande zangu msilete kujuana
Zao news kaa kizembe kamua
Fanya kama hujaniona

Mtu akishajua unampenda umekwisha
Walahi yaani atakupasua hilo bichwa
Na kisha atakuzungusha kama mpiga picha
Na hakuna kitu utafanya zaidi sana utajichatisha

Kinta Road utakutana na ma traffic
Sijui ni lile jua tu ndo linafanya mastori hawataki
Manesi nao mtuhurumia bana
Maisha bado hamjapatia sijui mnaringia nini

Nilikuwa najua mastaa wa Bongo wana mtonyo
Ukiposti mapicha makali nawanyooshea mikono
Saa mastaa wenyewe nilivyowakuta wako hoi
Sijui huwanga wanaringia nini

Okay na utakatifu sio wa kujionyesha nahisi
Nenda kamringie tu Ibilisi 
Sawa hauli kitu moto ila wako ye dini aikaze
Anaipiga na balini unamkiss

Fanya kama hujaniona
Fanya kama hujaniona
Tukill marangona
Fanya kama hujaniona
Ka unapigo za kile basi

Mi sina mapepe najua
Pande zangu msilete kujuana
Zao news kaa kizembe kamua
Fanya kama hujaniona

Fanya kama hujaniona
Fanya kama hujaniona
Tukill marangona
Fanya kama hujaniona
Ka unapigo za kile basi

Mi sina mapepe najua
Pande zangu msilete kujuana
Zao news kaa kizembe kamua
Fanya kama hujaniona

Watch Video

About Vunga

Album : Vunga (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 12 , 2020

More RAPCHA Lyrics

Low
RAPCHA
ICU
RAPCHA
RAPCHA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl