Yo Baba Lyrics
Yo Baba Lyrics by PS.JACKES CHIKURU
Umeni jaza baraka tele baba uzima wako wa milele
Baba kama milima mabonde misitu mimi nime
Pita neno lako nila kweli na hakika bridge
Nili angaika sana niki tafuta jibu ila
Sana na juwa yesu wewe ndio jubu tu umeni toa shimoni eeeeh
Baba eeh uka ni wezesha nime weza aaaah
Yo baba yo oooh
Yo baba yo oooh
Acha niku imbiye eeeeh
Yo baba yo oooh sifa zako za dumu
Yo baba yo ooh acha niku tukuze eeeh
Yo baba yoo oooh bridge
Yo baba yo ooooh oooooh
Sifa zote kwako wacha niku tukuze mahali
Ume nitowa wacha uwinuliwe nita dumu
Na yeye milele sito mwacha eeeeh hata ije
Zoruba milele sito mwacha ehhh huku nitenga aaah
Uli kaa nami iiih shida za dunia aaah
Uka niondoleya aaah huku nitenga aaah
Uli kaa nami iiih shida za dunia eeeeh baba eeeeeeeh eeeeh
Chorus yo baba yo oooh yo baba yo oooh
Acha niku imbiye eeeeh yo baba yo oooh
Sifa zako za dumu yo baba yo ooh acha niku tukuze eeeh
Yo baba yoo oooh
Chukurani zangu kwako we eeh wacha
Tu mi nikuimbiye wema wako wani tosha aaah
Siitaji hata mwengine chukurani zangu kwako we eeh
Nikuimbiye wema wako wani tosha aaah
Sihitaji mwengine bridge nili angaika sana
Niki tafuta jibu tu ila sana na juwa yesu wewe ndio jubu
Tu nili angaika sana niki tafuta jibu
Tu ila sana na juwa kweli wewe ni jubu tu
Yo baba yo oooh
Yo baba yo oooh acha niku imbiye eeeeh
Yo baba yo oooh sifa zako za dumu
Yo baba yo ooh acha niku tukuze eeeh
Yo baba yoo oooh
Watch Video
About Yo Baba
More PS.JACKES CHIKURU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl