Sitabaki Nilivyo by PAUL CLEMENT Lyrics

Maisha haya ninapita tu
Hali hii ya sasa ni kwa muda tu
Ushindi wangu U karibu nami 
Mtetezi wangu yu hai 

Sitabaki kama nilivyo

Silalamiki wala sikufuru
Najua ni darasa napitishwa
Imani yangu ipo kwenye kipimo
Najua nitapita tu 
Sitamani za wengine wala sijilinganishi
Najua wakati wangu upo 
Siogopeswhi na mapito ninayoyapitia
Namwamini yule aliyeruhusu nipite

Mtetezi wangu 
Yu hai Yu hai
Sitabaki kama nilivyo 

Music Video
About this Song
Album : Sitabaki nilivyo ,
Release Year : 2017
Copyright : ©2017
Added By: Trendy Sushi
Published: Mar 10 , 2020
More Lyrics By PAUL CLEMENT
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment