Fungua Mbingu Lyrics
Fungua Mbingu Lyrics by PATRICK KUBUYA
Ee Bwana tunakusanyika mahali hapa kwa jina lako
Tunahitaji umwage roho wako mtakatifu mahali hapa
Tuishi miujiza na maajabu, ee roho tunakualika
Fungua mbingu zako ee Bwana
Neema yako na ishuke
Tupo tayari tunangojea
Uwepo wako utuvike
Mahali hapa jina lako linaabudiwa e Bwana
Miujiza ya maajabu yafanyike hapa

Roho wako avume
Miujiza na ifanyike
Wagonjwa na wahitaji wakuone
Roho wako avume
Miujiza na ifanyike
Wagonjwa na wahitaji wakuone
Roho wako avume
Miujiza na ifanyike
Wagonjwa na wahitaji wakuone
Roho wako avume
Miujiza na ifanyike
Wagonjwa na wahitaji wakuone
Roho wako avume
Miujiza na ifanyike
Wagonjwa na wahitaji wakuone
Roho wako avume
Miujiza na ifanyike
Wagonjwa na wahitaji wakuone
Ee roho mtakatifu timiza mapenzi yake Bwana
Tawala mahali hapa, tuone mkono wake Mungu
Ee roho mtakatifu timiza mapenzi yake Bwana
Tawala mahali hapa, tuone mkono wa Bwana
Ee roho mtakatifu timiza mapenzi yake Bwana
Tawala mahali hapa, tuone mkono wake Mungu
Ee roho mtakatifu timiza mapenzi yake Bwana
Tawala mahali hapa, tuone mkono wa Bwana
Ee roho, tu hapa
Twangoja wakati wa bwana
Timiza mapenzi ya Bwana tuimbe Hossana

Watch Video
About Fungua Mbingu
More PATRICK KUBUYA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl