Ameniwaka Huru Kweli Lyrics
Ameniwaka Huru Kweli Lyrics by PAPI CLEVER & DORCAS
Ameniwaka huru kweli, naimba sasa: Haleluya
Kwa msalaba nimepata kutoka katika utumwa

Nimeokoka, nafurahi! Na dhambi zangu zimetoka
Nataka kumtumikia Mwokozi wangu siku zote

Zamani nilifungwa sana kwa minyororo ya shetani
Nikamwendea Bwana Yesu, akaniweka huru kweli

Neema kubwa nilipata kuacha njia ya mauti
Na nguvu ya wokovu huo yanichukua siku zote

Na siku moja nitafika mbinguni kwake Mungu wangu
Milele nitamhimidi na kumwimbia kwa shukrani

Watch Video
About Ameniwaka Huru Kweli
More PAPI CLEVER & DORCAS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl