PADI WUBON Hakuna Kitu (Tuma Kitu Parody) cover image

Hakuna Kitu (Tuma Kitu Parody) Lyrics

Hakuna Kitu (Tuma Kitu Parody) Lyrics by PADI WUBON


Hii ni ya wasanii ambao wamelala
Mnapiga kelele kwa mitandao tu

Mambosho ndio nahara na inauma
Na bado nadai kula mugoka 
Minyoo always kwa tumbo zinanuna
Tunajaribu long'i ni dont touch

Mresh keja anadai hanipi -ma
Anachoka na mi kuomba omba
Nalala njaa na machawa kujikuna
Aki ya Ngai noma kunaboo

Hakuna kitu, hakuna kitu
Hakuna kitu na ujue bado nakohoa
Hakuna kitu, hakuna kitu
Hakuna kitu manze mapanya zimezitoa 

Hakuna kitu, hakuna kitu
Hakuna kitu hata hakuna kukojoa
Hakuna kitu, hakuna kitu
Hakuna kitu si hakuna kitu

All I do is gym coz siwezi pata ka Betty Kyalo
Head first coz mi huingiaga hivo kwa manyau
Hewa tu niko na shimo kwa suruali
Nimesota hadi huskii maskini hunidharau

Ndio utoke hapa aii wee ni ngumu
Hii kichwa huwanga imefyatu but again ni ngumu
I remember I wanted to work for Churchill show
But maybe pia mi ningevuma kama Zeddy uchungu

Naskia kwamba nimejipata na gang
Na ka uko chini ni ju uko kwa peoples affairs
Huwezi pingana usanii ni ku-entertain
Yes nitauliza Simple Boy hii kitu iko kwa buruwein

Hatujaanza juzi hii ni kitu mnatamani
Msanii ndo upate -- na visa kamili
So waambie depression ni kutaka 
Hawaa buda wanikome ju hawa si buda wa mjini

Let's Go!

Mambosho ndio nahara na inauma
Na bado nadai kula mugoka 
Minyoo always kwa tumbo zinanuna
Tunajaribu long'i ni dont touch

Mresh keja anadai hanipi -ma
Anachoka na mi kuomba omba
Nalala njaa na machawa kujikuna
Aki ya Ngai noma kunaboo

Hakuna kitu, hakuna kitu
Hakuna kitu na ujue bado nakohoa
Hakuna kitu, hakuna kitu
Hakuna kitu manze mapanya zimezitoa 

Hakuna kitu, hakuna kitu
Hakuna kitu hata hakuna kukojoa
Hakuna kitu, hakuna kitu
Hakuna kitu si hakuna kitu

Eyoo nilishikwa na karao na barakoa iko hapa
Kupigishwa mambao nikichunwa makwapa
Mnaona hapa mgongo amegwara kama paka
Baada ya kujikuna ilibidi nitoke siaka

Na nitai omoka ju sina enemies
But after God the only thing na fear ni dentist
How can yo ning'oa mameno 
Nikule ugali ama ninyonyane na porridge, why?

Either way niko na wera mi nafanya nichekwe
Sina paka ni mkule kule mboga na mbese
Kakamega msiwai ita Jones Shikwekwe
Ju ka form ina keroma mi ndo huwa interested

Niko na kitu imeshikana nikikupa haitakuboo
Peleka hizo mifupa huku, haja yako tu ni doh
Hii ni lugha ya mapoko unachotwa na maslayqueen
Ukizoea utapatikana we ni shenzi si mcheshi

"Mepema (In the morning)
Mepema (In the morning)
Zingiri (Eeeh)
naskia wasanii wakipata thao
Wanapeleka yote kwa looku bana 
Badala wachukue zile nguo zao zimeraruka 
Waende wakaeke kiraka Hahahaha waivest hio doh 

Mepema (In the morning)
Alafu naskia kuna depression ya wasanii hapa nje bana
Eeh kuna wasanii wanaonekana kwa TV na mtandao
Wanaonekana hapa tu nje (Hahahaha)

Umesema hawaonekani kwa mbulu 
Zingiri! Look ya jana (Si ya leo)
Kwa nini ? (Juu ni chafu)
Aiyayayayaya"

Hakuna kitu si hakuna kitu 

Mnapenda keroro kangeta na magoro za vako
Ju unaonekana kwa TV kumbe hata hauna kaTV
Kijana ulitoka Bondo na unatesa kwa club
Na kumbe Landlord kwa mlango anafunga na chain

Ona unachekelewa, wengine wanaendelea
Kazi ni nyenyenye nani anamezeshea
Utazidi kuongelewa kazi yako inakojolewa
Ka ni kazi usiwache ju Kenya uinakutegemea

Mambosho ndio nahara na inauma
Na bado nadai kula mugoka 
Minyoo always kwa tumbo zinanuna
Tunajaribu long'i ni dont touch

Mresh keja anadai hanipi -ma
Anachoka na mi kuomba omba
Nalala njaa na machawa kujikuna
Aki ya Ngai noma kunaboo

Hakuna kitu, hakuna kitu
Hakuna kitu na ujue bado nakohoa
Hakuna kitu, hakuna kitu
Hakuna kitu manze mapanya zimezitoa 

Hakuna kitu, hakuna kitu
Hakuna kitu hata hakuna kukojoa
Hakuna kitu, hakuna kitu
Hakuna kitu si hakuna kitu

Watch Video

About Hakuna Kitu (Tuma Kitu Parody)

Album : Hakuna Kitu (Tuma Kitu Parody) (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 28 , 2020

More PADI WUBON Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl