Kwa Hao Lyrics by MR SEED


Starborn, Mr Seed Again
Alright Masterpiece
(Mavo on the beat...)
VDJ Jones, uwachome na kingoko
Call me call me call me Dezian
34 Gang

(Mavo on the Beat)

Kwa God niko fiti, kwa God niko sawa
Amenibless sai nina mtoi ako kwa hao

Kama order, tunasifu kwa hao
Ah kwa hao, huko ndani ndo makao
Kama order, tunasifu kwa hao
Huko ndani ndo makao(Kana order)

Yoh yoh cheki
All over sudden amenibless tunana
All over sudden amenicheki nana
All over sudden amenibless me cheki
Bless me, check me, bless me nana

Parte after party tunaparty tu kwa hao
Ata wakorino wanaparty tu kwa hao
Kama order wanachachisha wa hao
Tunatambua Mungu tu ndio Baba Lao

Toka ngware ni lazima nipige sala
Ju ya mahali nimetolewa na Maulana
Better days ndo nilikuwa nasaka
Baraka za leo ni mingi kushinda jana

Acha niimbie sir God 
Kama basi nizidishe maombi
Hata kwa seat ka sisongi na mbogi
Mi najua atanilinda nikiwa naye sikosi

Kwa God niko fiti, kwa God niko sawa
Amenibless sai nina mtoi ako kwa hao

Kama order, tunasifu kwa hao
Ah kwa hao, huko ndani ndo makao
Kama order, tunasifu kwa hao
Huko ndani ndo makao(Kana order)
Yoh yoh

Tangu kitambo ulinipenda
Ukanivumilia ukanijenga
Maisha ikinipigaga chenga
Don't worry ju forever mi ni member

Creation itakase nibariki
Si ati maisha ya kutafutanga kiki
Nare nare bila kiberiti
Holy Ghost fire unarauka kwenye kiti

Blessings shower za God wewe ndio dawa
Nikilala huwezi kuninawa
Daddy umenibless umenivisha mavazi
Nobody can test...

Jah Jah, Jah Jah kwako tuko seti
Jah jah kwako tuko seti
Bila wewe jo haiwezi
Siku za kiama sitaki iwe kesi

Kwa God niko fiti, kwa God niko sawa
Amenibless sai nina mtoi ako kwa hao

Kama order, tunasifu kwa hao
Ah kwa hao, huko ndani ndo makao
Kama order, tunasifu kwa hao
Huko ndani ndo makao(Kana order)
Yoh yoh 

Naobey God, -- tumepass
Even though Kenya kuna locust
Ulinibless ukachange my past
Siwezi kakusahau ata nikiiva shash

Na Disemba mimi husele your bash(Hapo Christmas)
Fast -- mi siwezi miss church
Ju najua Jah Jah utacatch
Na ukicatch utafanya nikose cash

Master utanipata kwa church
Master huwezi nipata na shash
Kwa Christ jo pia kuna bash
Mtakunywa damu ya Yesu

Man a bad man since I was born
Jesus is the real don don dada
Nina Musa pia sisi ni ma gang
Kwa christ pia sisi ni magang

Kwa God niko fiti, kwa God niko sawa
Amenibless sai nina mtoi ako kwa hao

Kama order, tunasifu kwa hao
Ah kwa hao, huko ndani ndo makao
Kama order, tunasifu kwa hao
Huko ndani ndo makao(Kana order)
Yoh yoh 

Kwa God niko fiti, kwa God niko sawa
Amenibless sai nina mtoi ako kwa hao

Kama order, tunasifu kwa hao
Ah kwa hao, huko ndani ndo makao
Kama order, tunasifu kwa hao
Huko ndani ndo makao(Kana order)
Yoh yoh 

(Mavoh on the Beat)

Watch Video

About Kwa Hao

Album : Kwa Hao (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Star Born Empire.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 20 , 2020

More MR SEED Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl