Walevi Lyrics
Walevi Lyrics by MR RIGHT
Wote ni walevi, 58 58, walevi
Wote ni walevi, 58, walevi
Wote ni walevi, 58 58, Ey ey ey
Wote ni walevi, 58 58, walevi
Ati wote ni walevi
Mr. Right nikitema mi ni wavy
Krypton leo jo ni wikendi
Wakilalisha, wakilalisha
Tunamangana manangos
Kanono kapoa, anaishi dago
Anadai ati mpango wa kando
Mabeste wake wote pia boss ni walevi
Boss songa kando
Mi huhang nao kama George of the jungle
Uliza Ajay vile mi hufanya mambo
Back to the school buda ka kitambo
Na ka ni street rap tuwachie si uhandle
Yoh 58 nigga mi hurepresent
254 buda mi ni citizen
Citizen tuwache jo mihadarati
Bars jo ni straight buda zimepigwa pasi
Na hookie nigga nakata jo ka makasi
No sarakasi so hii ni shrap classic man
Mi hupiga-- wako whack wako down
Yaani wako zigzag ati
Mi huwachew chew kama kitkat, skiza
Mi huincrease viewed buda sit back ati
Mi ni baba usiulize winja
New boy on the block Y C
Wananiita Big shark na
Mr Right wanadai nimefumble
Niko so fresh and clean mi ni rapper
Definitely mi huchill na mashrapper
Each and every saturday kifaru na warasta
Wote ni walevi, 58 58, walevi
Wote ni walevi, 58, walevi
Wote ni walevi, 58 58, Ey ey ey
Wote ni walevi, 58 58, walevi
Na zimefunga venye mi hutoa lock
Peer pressure nilianza na kachok
Siku hizi mi humada hadi naadia Crazy Coke na Chrome
But still me huprefer mandom
Niko maliqour sio mashisha
Brand new style hii ni matisho
Whine whine that as Bhakita
Mr Paw paw nimekam na fambalicious
Na Glen Rock ile pombe ya Remy
No wonder naona hapa wanakuwaga wametudedi
Broke ass niggas why you hating?
Mavo weka Konyagi hao manigga wako bitter
Alcoblow ingekuwa exam ningepita
Friday we si unajua ni kutingika
Huna cash shore mpesa Fuliza
Kanono kapoa kamejipa ajibika
Wote ni walevi, 58 58, walevi
Wote ni walevi, 58, walevi
Wote ni walevi, 58 58, Ey ey ey
Wote ni walevi, 58 58, walevi
Eeey eey ni walevi
Eeey eey ni walevi
Eeey eey 58 aaiii
Watch Video
About Walevi
More MR RIGHT Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl