Utukuke Lyrics
Utukuke Lyrics by MOJI SHORTBABAA
Niwe milimani, ama mabondeni
Utukuke utukuke
Niwe milimani, ama mabondeni
Utukuke utukuke
Utukuke utukuke, utukuke utukuke
Utukuke utukuke, utukuke utukuke
Mimi nimechagua, nachagua kuimba
Nachagua kuimba
Kama Paulo na Sila nitaimba usiku
Tenzi za moyo wangu
Kukuimbia sifa, pokea sifa zangu
Jina lako libaki juu, milele wewe ubaki juu
Minyororo imeanguka, korokoro ishafunguka
Minyororo imekatika, korokoro ishafunguka
Niwe milimani, ama mabondeni
Utukuke utukuke
Niwe milimani, ama mabondeni
Utukuke utukuke
Utukuke utukuke, utukuke utukuke
Utukuke utukuke, utukuke utukuke
Eh baba, eh baba...
Eh baba, eh baba...
Si kwa nguvu wala majeshi
Aah tukiwa nawe tuko freshi
Aah aah
Bila manguvu wala majeshi, aah
Tukiwa nawe Yesu si tuko freshi
Aah aah
Sitaki kitu leo, aah
Pokea sifa leo
Si mashida leo, aah
Pokea sifa leo
Leo mi naishi kwa neno lako, aah
Juu niko fiti kwa uwepo wako, aah
Leo mi naishi kwa neno lako, aah
Juu niko fiti kwa uwepo wako
Niwe milimani, ama mabondeni
Utukuke utukuke
Niwe milimani, ama mabondeni
Utukuke utukuke
Utukuke utukuke, utukuke utukuke
Utukuke utukuke, utukuke utukuke
Eh baba, eh baba...
Eh baba, eh baba...
Niwe milimani, ama mabondeni
Utukuke utukuke
Niwe milimani, ama mabondeni
Utukuke utukuke
Watch Video
About Utukuke
More MOJI SHORTBABAA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl