MAYATJMA Heri Tusengenywe cover image

Heri Tusengenywe Lyrics

Heri Tusengenywe Lyrics by MAYATJMA


Mahari imepanda tukasema hatutoi iko nini kama mbaya mbaya (Heri tusengenywe
Another reason mi sioi
Kuwekewa curfew piga simu majioni
Sema unatoka kazi ukifika osha watoi
Nikijaribu kuzusha kwa bed sitoboi
Waah! Maze Rebecca 

Ule wa kimilili
Doh ya credo daily anataka ngiri mbili
Hajui kupika anajaza pilipili na mathake anasema mahari milioni mbili
Natoka mjengo nmechoka anadai nimpige mbili
Na kiuno imekwama kala pieces serikali
Mrembo anadai sikuji kulala mimi
Acha nirudi kwetu kuna vitanda mingi
Waah!

Victoria mwangi kwa kimani
Mi nlimsomesha nikauza adi gari
Akagraduate nkitaka kum-marry (siolewi na farmer mi nataka dakitari)
Ndio wao ni blunder tumesema hatuoi wafanye tu vile watafanya (Hari tusengenywe)
Mahari imepanda tukasema hatutoi iko nini kama mbaya mbaya (Heri tusengenywe
Ndio wao ni blunder tumesema hatuoi wafanye tu vile watafanya (Hari tusengenywe)
Mahari imepanda tukasema hatutoi iko nini kama mbaya mbaya (Heri tusengenywe
Mumesema hamuoi? 
Na nguo mtafuaje?

Tuko na mikono bwana
Mumesema hamuoi? 
Alafu mtapikaje?
Tuko na mikono bwana
Mumesema hamuoi? 
Na vyombo mtaoshaje?
Tuko na mikono bwana
Mko sure hamuoi? 
Na nyege mtatoaje?
Mmh. 
Toka hapa bwana kichwa ya thermos bwana toka hapa

Watch Video


About Heri Tusengenywe

Album : Heri Tusengenywe (Single)
Release Year : 2021
Added By : Nickie Nick
Published : Apr 13 , 2021

More MAYATJMA Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2022, We Tell Africa Group Sarl