
Mr. Deejay Lyrics
Mr. Deejay Lyrics by MAGIX ENGA
1, 2, 1, 2 ah ah
1, 2, 1, 2 ah ah
Atachokucha niletee
Sitaki mzuka unishuke sitaki upotee
Ai watoto wazuri pombe wape
Usijali mabill wewe niletee
Mr Deejay pull up yeah yea
Unanimaliza kidogo, unawamaliza vigogo
Mr Deejay pull up yeah yea
Unanimaliza kidogo, unawamaliza vigogo
I met a gal that I really like
The way she fine waist so --
--
Walai we unanimada
Nikukucheki jicho lako ka umekula ng'ada
Kenyan boy on dada
Unanikatizaga you make me go gaga
Mr Deejay pull up yeah yea
Unanimaliza kidogo, unawamaliza vigogo
Mr Deejay pull up yeah yea
Unanimaliza kidogo, unawamaliza vigogo
They call me beat king killer, Mtu mzima
Nafinya beat kama chizi na usipime
I got the skills unanifeel
I have set--
Rampapa to make you all day
--
Wewe ni murderer unanifanya sijielewi
Cheusi mangala kwako nitamwaga visenti
Wewe ni murderer unanifanya sijielewi
Cheusi mangala kwako nitamwaga visenti
Mr Deejay pull up yeah yea
Unanimaliza kidogo, unawamaliza vigogo
Mr Deejay pull up yeah yea
Unanimaliza kidogo, unawamaliza vigogo
1, 2, 1, 2 ah ah
1, 2, 1, 2 ah ah
1, 2, 1, 2 ah ah
1, 2, 1, 2 ah ah
Watch Video
About Mr. Deejay
More MAGIX ENGA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl