Maximum Lyrics
Maximum Lyrics by MADTRAXX
I'm really maximum
Shows I kill it maximum
Check my m pesa it is reading maximum
Means I'm getting paper ata ku shinda capsicum
Nine hundred ninety thousand cash bank maximum
Maddy akiagiza nimamzinga maximum
Ka nikuchachisha nachachisha maximum
Makuro kali kali wana fyekwa maximum
Manguo bei kali kwa kabati maximum
I killit to di max eh
My advice to other rappers choose a casket
RIP I know my swag is nice mayne
But nakuja na ubaya kama vaite
Utadhani mi ni fena kwa kitanda brikicho
Alafu ngware femi nikitoka tippy toe
I'm a bad man ting adopted by Ochungulo
Mimi si nyashinski but nadhani now you know
Na tititititisha na sioni competition
Na pppppita wanakula tu emmission
Milli mbili minimum
Utajua minibuda usidhani minimum
I'm really maximum
Shows I kill it maximum
Check my m pesa it is reading maximum
Means I'm getting paper ata ku shinda capsicum
Nine hundred ninety thousand cash bank maximum
Maddy akiagiza nimamzinga maximum
Ka nikuchachisha nachachisha maximum
Makuro kali kali wana fyekwa maximum
Manguo bei kali kwa kabati maximum
Jina Maddy Ina Heshima (Maximum)
Uptown mpaka Eastlands (Maximum)
Navuta shash ka nalipwa (Maximum)
So macho nyanya niki iva (Maximum)
Madtrizzy Maximum Kama miracle centre
Uzito kwa Mafans hao wamenijenga
Stylez Nameless Bruce Odhiambo my mentors
Pongezi wasanii kutoka my generation
Kama unafanya kitu go maximum
No practice no rehearsal beast mode maximum
Usidanganywe hapa bidii maximum
That's how you last in the industry maximum
I'm really maximum
Shows I kill it maximum
Check my m pesa it is reading maximum
Means I'm getting paper ata ku shinda capsicum
Nine hundred ninety thousand cash bank maximum
Maddy akiagiza nimamzinga maximum
Ka nikuchachisha nachachisha maximum
Makuro kali kali wana fyekwa maximum
Manguo bei kali kwa kabati maximum
Niliandika hii nikiwa kwa d max
Tena naskiza beat kwa tenje ya sony max
Track ndio hiyo ina pata 100 marks
Jina MADTRIZZY naingine madtraxx (LETS GO)
Madtraxx Eh
Jina MADTRIZZY naingine madtraxx (LETS GO)
Maddy Madtrizzy MwendaMchizi Madtraxx
Watch Video
About Maximum
More MADTRAXX Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl