LETEIPA THE KING Kwetu Ni Loitokitok Ft Muna Party cover image

Kwetu Ni Loitokitok Ft Muna Party Lyrics

Kwetu Ni Loitokitok Ft Muna Party Lyrics by LETEIPA THE KING


Fred Ozzo entertainment
Muna party Vampk
Brown City under mount
Kilimanjaro

Ni zaidi ya Sherehe Loitokitok ilivyonilea
Nakumbuka nyare nikienda kuogelea
Kudish kwa kamale nikipata za kuotea
Alafu mi na Bore Gatuthu tunamchezea
So hata nikiwa far natamani kuwa kwetu juu hakuna penye
Raha zaidi yetu Tena hakuna njaa kilimo ndo kazi yetu
Mpaka wasambaa wanaotea kutwa zetu
Pia imekuza watu wa maana salute kwake
Musa mshauri wa vijana
Aliyetufunza maisha nikung'ang'ana na
Cha mtu ukigusa utapatwa na laana
Truly najivunia maumbile ya Nyumbani miti na wanyama
na vyote viliyvondani ni sehemu yenye baraka na
Tena inavutia na ipo kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania

I always look so pretty
Juu kwetu ni Ltk
Ukipenda the brown City
Kila kitu ni TIK
Amani Na upendo mazingira yakuvutia we sing like
(iyaiyooh aaah iyaiyooh) (iyaiyooh aaah iyaiyooh)
(iyaiyooh aaah iyaiyooh) (iyaiyooh aaah iyaiyooh)

Asubuhi nikiamka, ni ero sobha navalia shuka
nadungia nkamoka nachukua rungu, mbio machungani kijana wa
Sasa mpenda maisha ya zamani
Sato pekee ndo mi hutokea Ili wangu mabeshte nipate kuwagotea
Hali za siku mingi kujuliana tukipiga hadidhi na kuchekeshana
All I can say is that kwetu ni kwa kisure maana
Everyday ya God watu hukuka tour
Wanapenda shangashanga na traditional mingaro
Nakuipiga picha mlima Kilimanjaro
Baada ya kutalii hawawezi kusahau
Huwa wanakumbuka wanapokuwa wako
Na ni wazi akili na roho zao husema
Hiyo place ni poa , lazima turudi tena

I always look so pretty
Juu kwetu ni Ltk
Ukipenda the brown City
Kila kitu ni TIK
Amani Na upendo mazingira yakuvutia

All people from far mnaoniskiza
My brother my sister mzungu mwafrika
Ukifeel unataka kuburudika
Bila kukawia Masai land fika
Ni home of stars utadhani laleague
Patana na Vampk akunase kwa kuimba
Mamboleo na mashairi ya kuburudisha
And I kwakuchana ninafunika

Njooni sote kwa pamoja
Nyumbani niwapeleke tutakuta, mamorani wako hapo kangeleshe
Upewe supu ukunywe na pembe
Tupoge story tukisubiri kakichwa kaive

(iyaiyooh aaah iyaiyooh)
Ltk to Kimana (iyaiyooh aaah iyaiyooh)
Illasit to Nkama (iyaiyooh aaah iyaiyooh)
Base ya base to Kimana (iyaiyooh aaah iyaiyooh)

Watch Video

About Kwetu Ni Loitokitok Ft Muna Party

Album : Kwetu Ni Loitokitok Ft Muna Party (Single)
Release Year : 2021
Added By : Leteipa the King
Published : Feb 22 , 2022

More LETEIPA THE KING Lyrics

LETEIPA THE KING
LETEIPA THE KING
LETEIPA THE KING
LETEIPA THE KING

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl