Kizero Lyrics
Kizero Lyrics by LETEIPA THE KING
[VERSE 1]
Tufununu tumespread kwa Mitaa, Kwamba
Leteipa siku hizi anaitwa
Vampk Sijui Ni kun'gu ama Ni Kichaa,
Soo yule tulimjua kipindi akiwa class eight
Na Kama rungu anatembea Na guitar,
Ameacha Kuimba Choir sikuhizi anaimba mapenzi,
Na kitu moja chenye Nina ihakika,
Akimaliza Mwaka mmoja mniite mshenzi
Maulana tenda Jambo,
Wanangoja nifail waniuse Kama example,
Ona tulikaonya kitamboo,
Kamekataa sa kameshikwa na mascundles,
Na kama bado mi Ni wako,
Tafadhali nifungulie milango,
Wanipende Kama kitambo,
Ngoma zangu ziskike Kenya mpaka n'gambo
[HOOK: ]
They said I messed up her sister,
Nikamfanya ahepe home,
I acted like a evil teacher,
Nikafunza brother yake kuchoma ndom,
Wasn't it for me and my evil pictures,
Moto wa jirani angepeform,
Kuku zenu tafadhali Ficha,
Atazigeuza zikuwe form
[CHORUS:]
(Am still me)
Sunday tukienda, Sunday School saa
Tisa kuwahi wrestling (Am still me)
Raima tukila mcheleku,
Gari za wire mpaka battery (Am still me)
Mnaniita msanii, Kioo Cha jamii (Am still me)
Mkimaanisha msanii, Kizero Cha jamii
[VERSE 2]
Kanajifanya sharobaro
Kila time Ni ming'aro Kusumbua akina Caro,
Kubrag mitani na miado za maparo,
Wazazi waliwaste Karo Kusomesha huyo mtaro
Hapo walitupa mbao heri wangebuy maziwa wakapike chai kwao..
Ni wangap tumewaona wasanii
Wameishia kwa mihadarati..
Kanadhani kashakuwa katalii Kashaanza kuvuta bangi
[HOOK:]
They said I messed up her sister,
Nikamfanya ahepe home,
I acted like a evil teacher,
Nikafunza brother yake kuchoma ndom,
Wasn't it for me and my evil pictures,
Moto wa jirani angepeform,
Kuku zenu tafadhali Ficha,
Atazigeuza zikuwe form
[CHORUS:]
(Am still me)
Sunday tukienda Sunday School saa
Tisa kuwahi wrestling (Am still me)
Raima tukila mcheleku,
Gari za wire mpaka battery (Am still me)
Mnaniita msanii, Kioo Cha jamii (Am still me)
Mkimaanisha msanii, Kizero Cha jamii
Watch Video
About Kizero
More LETEIPA THE KING Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl