Beer Mbili Lyrics
Beer Mbili Lyrics by KONKODI
KonKodi, Boy Zulu
Decimal, Trumba
kaa Rada manze
Leta sose, nauweke beer mbili (Mbili)
Na machungwa ya vitamini (Mini)
Ongeza tena hapo beer mbili
Ongeza tena hapo Beer mbili
Leta sose, nauweke beer mbili (Mbili)
Na machungwa ya vitamini (Oya)
Ongeza tena hapo beer mbili
Ongeza tena hapo Beer mbili
Cheki kwa T. V, nkichoma C. V
Sura Umisha Kidi
Ndio ni pose, Hii magazine,
Street huwa inakesha
MaFala ndio wana sleep
We ni sheep MI NI G. O. A. T
Vako ushuru hawaga nai beef
Mmhh mhhh sidaiku ficha white
Wee dunga mask,
Nenge Iki bite njeve imedie
Wee ninja run, vako na lockdown
Utajua nimepanda class AH
Nmechoka kununa kukaa home
Nimejaa Gas Gas SHASH BAAS!
Si vindu vichenjanga
Ma Virtual ma textanga
Corona imekuja kuzoza
Mali safi imechezwa na hygene
So bila ma preshanga
Kimbichwa Kusetanga,
Club covid bila hip hip
Wasikuje na joto coz I'm sick,
Leta sose, nauweke beer mbili (Mbili)
Na machungwa ya vitamini (Mini)
Ongeza tena hapo beer mbili
Ongeza tena hapo Beer mbili
Leta sose, nauweke beer mbili (Mbili)
Na machungwa ya vitamini (Oya)
Ongeza tena hapo beer mbili
Ongeza tena hapo Beer mbili
Kaka kaa chini buda uniskize
Leta beer mbili Ah ah
Ongeza zifike nne, na mbona jo
Una delay oya nishaPiga order
Swezi shinda sober nyamaza
Mfuko Inabonga kijana
MI Hu Skiza malingala
Staki jo kubishana
Mbona unajibizina
Na bazenga Ana kihara
Swagga ni ya madigaga,
After na buy-ingi Jaba
Halafu ziba kipara
Rada gani mi ndio mjanja
Ala lala kama kawa, boy wa power
Mi ndio mjanja, mi ndio mbaya
Aya yaya we ni liar
We si mjanja we ni liar
Leta sose, nauweke beer mbili (Mbili)
Na machungwa ya vitamini (Mini)
Ongeza tena hapo beer mbili
Ongeza tena hapo Beer mbili
Leta sose, nauweke beer mbili (Mbili)
Na machungwa ya vitamini (Oya)
Ongeza tena hapo beer mbili
Ongeza tena hapo Beer mbili
Let me say this, its a fact of life
they order one sausage with 2 beers
Anakula hiyo sausage moja na beer mbili
Anaingia hoteli ingine anauuliza chungwa
Ati sasa ni dessert, na ingine mbili
Now my friend nikitu gani unafanya jameni
Watch Video
About Beer Mbili
More KONKODI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl