Washa Lyrics
Washa Lyrics by KIRIKOU AKILI
Sikiliza navyotaka mi, kukufyakata
Tena peace punguza, izo widada
Izo sali za kudanga danga ni za madada
Umenipanda kichwani, leo huna bahati
Lazima nitakubra dada
Si ulisema unataka battle
Weka viti tuchane na mshete dem wako
Ili baadae muachane
Unajisexy-isha eti una macho mazuri
Utakuja kupakata wahuni sio watu wazuri
Siku hizi nazama ndichi eti zile mbivu
Zile mbivu sizitaki mimi nataka mbichi
Maswala ya kukaa uchi, huo ni upuzi
Kamstue dem wako maana anapenda vijiti
Mara simba dume, mara simba ndike
Mi naona makuku dume na makuku dike
Waambieni wasubiri asubuhi wakawike kokoriko
Ko Ko Ko Ko, kokoriko
Aki ya nani mwaka huu
Lazima tuwawashe
Tuwawashe tusiwawashe?
Washa, washa, washa washa washa
Wabaya
Washa, washa, washa washa washa
Wanaona haya
Washa, washa, washa washa washa
Wananiita Kirikou aka Baba Yao
Watoto tuwapigi kwanza chapa tu vibao
Unajiita pasipoti wakati una flow moja
Ya mikikiki
Mmmh yoh, kudadadeki
Mara pop, tushakusoma
Mi nachana na nachana kichina
Mmmh haa, Jin Jho hua
Bubble bubble it hasa
Saba milaba nakata na toba kimada
Muhaba ni chap chap
Kisha madem ni pop
Namwambia fyatu fyatu
Siku hizi niko Bantu
Eeeh, siku hizi niko Bantu
Mara simba dume, mara simba ndike
Mi naona makuku dume na makuku dike
Waambieni wasubiri asubuhi wakawike kokoriko
Ko Ko Ko Ko, kokoriko
Aki ya nani mwaka huu
Lazima tuwawashe
Tuwawashe tusiwawashe?
Washa, washa, washa washa washa
Wabaya
Washa, washa, washa washa washa
Wanaona haya
Washa, washa, washa washa washa
Aki ya nani mwaka huu
Lazima tuwawashe
Tuwawashe tusiwawashe?
Washa, washa, washa washa washa
Wabaya
Washa, washa, washa washa washa
Wanaona haya
Washa, washa, washa washa washa
Watch Video
About Washa
More KIRIKOU AKILI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl