KHALIGRAPH JONES Juu Ya Ngori cover image

Juu Ya Ngori Lyrics

Juu Ya Ngori Lyrics by KHALIGRAPH JONES


Kama unangori (Kama unangori)
Kuja na mboggi na theng
Kama unangori (Kama unangori)
Kuja na mboggi na theng (iyee)
Kama unangori (Kama unangori)
Me sina worry (Me sina worry)
Me sina worry
Juu nitakukia feng

Ngoma zangu (ngori)
Flow nayo (ngori)
Nguo nazo (ngori)
Kadem nako (ngori)
Juu ya ngori ngori
Ati ni (ngori)
Ngori ngori (ngori)
Ngori ngori (ngori)
Flow nayo (ngori)
Shit nayo (ngori)
Kila kitu (ngori)
Kila kitu (ngori)
Nairobi (ngori)
254 (ngori)
Eeh eeh (ngori)
Juu ya ngori ( ngori)
Yeah

Ushaijua vile unaeza kuleta ngori
Ukileta ngori
Uku ni ngori joh
Unatabia za kishodi shodi
Kesi na OG ni horrible
Morio
Hukumbubi juzi ni nini
Ilifanyika kwa corridor
Ulijaribu kuziba ngori
Kumbe silikuwa nishakutoa corridor
Sorry bro hatuko kimoja
Saa me niko category soo
Niko na akina sokodi
Kaa unacopy then I just told you so
No worries though
Nijue za kodi msoo
90 percent of you rappers
Bado mnazimwa na shoti kaa nati flow
But kwow tukienda kigongi kombi
Kuje na packo ya condico
Nairobi knows
Vile nikona mapepo
Nahitaji maombi boss
Kila siku me na mourn medoss
Ndo reason nifuatwe na horny horse
My life is like a movie
(wuuh)
Wacha niwapatie chronicles
So stay on your lane kaa doriko
Juu simple utapgwa makofi bros
Skotoshi knows ilibidi baki
Nimekuwa nikiziafford koo
mapro ni pro form ni show
Nilidhani itakuwa impossible
Istead kutype kwa simu
We nitafute kaa ukona ngori joh

Kama unangori (Kama unangori)
Kuja na mboggi na theng (Raah)
Kama unangori (Kama unangori)
Kuja na mboggi na theng (iyee)
Me sina worry (me sina worry)
(me sina worry) (me sina worry)
(Brrr)
Ngoma zangu (ngori)
Flow nayo (ngori)
Nguo nazo (ngori)
Kadem nako (ngori)
Juu ya ngori ( ngori)
Ati nini (ngori)
Ngori ngori (ngori)
Ngori ngori (ngori)

Kama unangori (Kama unangori)
Usichoche kwa twitter na insta story
Name a location nikuje katambe
Twitter fingers tunajua ni boring
Kama unangori (Kama unangori)
Tukuchachishe mateke na dondi
Kama ni kudiss mliona nini
Nilifanyia vera na eric omondi

Kama unangori (Kama unangori)
Tukikutana usijifanye holy
Juu nitakuchangamkia ukoro
Na wale ninja umeseti kwa koti

Kama unangori (Kama unangori)
Hakikisha unatembea na mboggi
Juu wale kiawa wananitambua
Si wale hudance hizo ngoma za odi

Shine on nimepita na glory
Jwaang inapiga nikiwa na mashodi
Nipate mollys
Mimi na mollys on
The purple kama francis atwoli
Hapa nit eke hakuna cha slowly
Me sina time kama
Mbota si rolling nikisema nikona kimuthong

(Brrr)
Ujue si challenge yak obi
Si ndo waswang ya tonj ya mbono
Tunawaingiza na ii origi
Si ndo hupita na vibeti kwa mkono
Si ndo huongelewa dailykwa TV
Si ndo con wa tao
Pata potea na base ni stage ya bangu
Supplier wa nyama ya paka
Mlikuwa mnaekewa kwa sambu
So kama ni ngori jua ni
Akina nani unadeal na wao
Coz none of my niggas
Are keeping it 100
Zetu ni mabills za thao
So before muulize nani amekafunga
Kwanza mjue nani amevunja rekodi
Izo pang’ang’aza kujicompare na
Me hazihaziwezi  nyi ni matothi

Kama unangori (Kama unangori)
Kuja na mboggi na theng (Raah)
Kama unangori (Kama unangori)
Kuja na mboggi na theng (iyee)
Kama unangori (Kama unangori)
Me sina worry (Me sina worry )
Me sina worry (Me sina worry )
Juu ninakukokia feng

Kama unangori (Kama unangori)
Kuja na mboggi na theng (Raah)
Kama unangori (Kama unangori)
Kuja na mboggi na theng (iyee)
Me sina worry (Me sina worry )
Me sina worry (Me sina worry )
Me sina worry (Me sina worry )
Juu ninakukokia feng

Ngoma zangu – ngori (eeh)
Flow nayo – ngori (flow)
Ngua nazo – ngori (wuu)
Kadem nako – ngori (haa)
Juu ya ngori – ngori (buda)
Ati nini – ngori (ngori)
Ngori ngori – ngori
Ngori ndori – ngori (haa)

Flow nayo ( ngori)
Shot nayo ( ngori)
Kila kitu (ngori)
Kila kitu (ngori)
Nairobi (ngori)
254 (ngori)
Eh eeeh – ngori
Juu ya ngori ngori

 

Watch Video

About Juu Ya Ngori

Album : JUU YA NGORI (Single)
Release Year : 2018
Added By : Victor Prada
Published : Oct 15 , 2018

More KHALIGRAPH JONES Lyrics

KHALIGRAPH JONES
KHALIGRAPH JONES
KHALIGRAPH JONES
KHALIGRAPH JONES

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl