Nimechoka Lyrics
Nimechoka Lyrics by KELECHI AFRICANA
I'm trying to look back
Looking at everything that happened between us
Kinachoniumiza mimi roho
Ni nauli zako kwamba hutoniacha eeh (Ooh)
Ndani ya moyo wangu
Bado nauhisi uwepo wako (Eeeh)
Mwanzoni ulihofu
Nisije umiza moyo wako (Why me)
Love is so painful, love is not fair
Love inaweza kufanya uhai upotee
Ningalikuwa na uwezo
Ningaliudunga visu upendo ukome
Tried to give you love
Tried to give you my everything
Ukaamua upost umenichoka hunipendi mi
Ningalikuwa na uwezo
Ningaliudunga visu upendo ukome
Nimechoka, nimechoka
Nimechoka kuumizwa moyo wangu
Nimechoka, nimechoka
Nimechoka kuumizwa moyo wangu
You used to call every morning
And every night before sleeping
And that was the best feeling
'Cause you claimed you gonna stick around me
Baada ya muda ukabadilika
Nikawa sikuelewi
Huwezi piga huwezi text
Labda utume please call me
Kama ulinichoka eh, siungesema eh
Ukauweka upendo wangu on a dilemma
Ama kweli akufukuzaye hakwambii toka
Why did you have to give it a silent approval
Love is so painful, love is not fair
Love inaweza kufanya uhai upotee
Ningalikuwa na uwezo
Ningaliudunga visu upendo ukome
Tried to give you love
Tried to give you my everything
Ukaamua upost umenichoka hunipendi mi
Ningalikuwa na uwezo
Ningaliudunga visu upendo ukome
Nimechoka, nimechoka
Nimechoka kuumizwa moyo wangu
Nimechoka, nimechoka
Nimechoka kuumizwa moyo wangu
Watch Video
About Nimechoka
More KELECHI AFRICANA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl